Kwahiyo unataka kutuambia kuwa kuna watu 12 waliojiunga na kundi la hao nyumbu wasiojua wanapoelekea?
Naomba mchanganuo KAMA CHARITY BEGINS AT HOME nielezwe kwa miaka 25 EL akiwa mbunge wa monduli kuna upungufu wa umaskini kiasi gani au maendeleo kiasi gani ukilinganisha majimbo mengine?

Nishatia sumu kwa babu na bibi so wamenielewa kura mbili zipo na yangu ya tatu bado mademu wangu watatu watanielewa tuu soon
Naomba mchanganuo KAMA CHARITY BEGINS AT HOME nielezwe kwa miaka 25 EL akiwa mbunge wa monduli kuna upungufu wa umaskini kiasi gani au maendeleo kiasi gani ukilinganisha majimbo mengine?
Exactly, na hiyo ndio njia nzuri ya kudeal na wanasiasa wanaotoa hongo kwa wapiga kuraUsemelo ni sawa kabisa. Mi ninachosema ni kuwA mtu anaweza akakwambiaa hivo ila kwenye chumba cha kupigia kura huko ndo yanaweza yakatokea mabadiliko.
Yes hata mm nimepigika. Lakini baada ya kuchunguza kwa kina, nimebaini kuwa EL na mtandao wake wz mafisadi ndio ulionisababishia haya mateso na mwisho nimeapa kuwa NO MORE KWA MAFISADI.