Hizi ni gharama za kutoka na mchepuko

Hizi ni gharama za kutoka na mchepuko

GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000

Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Hebu weka na gharama za mke tulinganishe
 
GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000

Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Baadae utuletee gharama ambayo serikali inapata kwa kuwa na wananchi wengi wajinga wajinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom