Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 126
- 186
Habari mjasiriamali,
Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni nikukumbushe kua kila mwaka unatakiwa ku file annual returns.
Sasa hizi ni Documents Tatu unazohitaji kuwa nazo wakati wa ku file annual returns;
1. Form no. 128
Hii fomu inabeba taarifa zifuatazo
2. Consolidated form
Hii ni downloadable form ambayo utaipata Brela baada ya kujaza taarifa za annual returns
Uta download Kisha wewe, director mwenza na secretary mtaji sign Kisha MTA submit
3. Financial statement
Hii ni document ambayo utakua umeandaliwa na muhasibu.
Hii documents inaonesha taarifa zote za fedha zilizoingia, fedha zilizotoka, mahali zimetoka na mahali zimeenda.
Ukiwa na documents hizi basi unaweza ku file annual returns vizuri.
I hope this helps you.
Hey, naitwa luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara wewe ku file annual returns na Kusajili Kampuni.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu ku file annual returns unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite lawyer.

- Wamiliki wa Kampuni ambao ni shareholders
- Company personnel's ambao ni directors, secretary n.k
- Mtaji na shares
- Mabadiliko yoyote yaliyotokea ndani ya mwaka mmoja kwenye Kampuni.