basi hakikisha mnaonana ujiongezemi siwezi tongoza mtu kabla sijaonana nae live
Sasa mahusiano unayodai umeanzisha ni ya nn na kama huwez kumtongoza kama hujaonana nae bas hata kuchat acha maana waweza chat na majin buremi siwezi tongoza mtu kabla sijaonana nae live
mimi nilianzisha urafiki sio mapenzi...Sasa mahusiano unayodai umeanzisha ni ya nn na kama huwez kumtongoza kama hujaonana nae bas hata kuchat acha maana waweza chat na majin bure
Sent using Jamii Forums mobile app
huwa namuuliza uzuri wako huu bado uko single...anasema ni maamuzi tuTop usiogope uzuri sasa Jamani angekuwa mbaya mnelalamika angekuwa hana Kazi ooooh atakusumbua umempata mzuri unalalamika umepata anakazi u naogopa hivi nyie viumbe tuwaeleweje mnatakaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Anategemea umjibu " hajazaliwa kwa vipi wakati mi nipo?". Sasa anaona kqma umekuwa mzito kujiongeza. Ana strategy ya kukuona ili akushawishi. Hakuna lingine mkuu. Kwani ulimtaka urafiki kwa nia ipi?Kuna Msichana fulani nilianzisha urafiki nae kupitia 'Social network' hatujawai onana, bali tunaonana mtandaoni through chatting...Yeye yupo Dar mimi niko Bukoba...
Alishanambia mwezi wa 12 atakuja kuniona wakati wa likizo...maana ana ndugu zake Bukoba..
Sasa ishu inakuja pale Ninapompigia simu tukiwa tunapiga story za hapa na pale lazima aingize mambo ya yeye mara yuko Single...hana mpenzi ...kila nikimpgia simu lazima anambie kuwa yupo single...nikimuuliza kwann anasema wa kwake hajazaliwa..
.
Sasa wakuu hii imekaaje...maana sielewi why ananiambia hivyo...
nilitaka kuwa na urafiki wa kawaida...ila naona kama anataka urafik wa kimapenziAnategemea umjibu " hajazaliwa kwa vipi wakati mi nipo?". Sasa anaona kqma umekuwa mzito kujiongeza. Ana strategy ya kukuona ili akushawishi. Hakuna lingine mkuu. Kwani ulimtaka urafiki kwa nia ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muimbishe huyoKuna msichana fulani nilianzisha urafiki nae kupitia 'Social network' hatujawai onana, bali tunaonana mtandaoni through chatting.
Yeye yupo Dar mimi niko Bukoba. Alishaniambia mwezi wa 12 atakuja kuniona wakati wa likizo maana ana ndugu zake Bukoba.
Sasa ishu inakuja pale ninapompigia simu tukiwa tunapiga story za hapa na pale lazima aingize mambo ya yeye mara yuko single hana mpenzi.
Kila nikimpigia simu lazima anambie kuwa yupo (single) nikimuuliza kwanini anasema wa kwake hajazaliwa.
Sasa wakuu hii imekaaje, maana sielewi kwanini ananiambia hivyo.
Mbona umeandika kwa hisia sana [emoji3][emoji3]Top usiogope uzuri sasa Jamani angekuwa mbaya mnelalamika angekuwa hana Kazi ooooh atakusumbua umempata mzuri unalalamika umepata anakazi u naogopa hivi nyie viumbe tuwaeleweje mnatakaje
Sent using Jamii Forums mobile app