Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
1. Naota ghafla naingia kwenye chumba cha mitihani ya mwisho alafu hakuna nilichosema
2. Siku nyingine naota nimechelewa kuingia chumba cha mtihani muda unaisha sijajaza answer sheet kabisa na nakuwa nahangaika kwelikweli
3. Mara naota kuna mtihani nafika shule nimechelewa nafika ubaoni kujua jina langu liko room gani inanichukua muda mrefu kugundua, ile nafika chumba cha mtihani zimebaki dk chache muda wa mtihani kuisha, najikuta naingiwa na stress kisha nashindwa kujibu swali hats moja kisha nashtuka ndotoni nikiwa tafrani
NOTE: Nimepita pita shule mpaka elimu ya chuo na huko kote nilikuwa napita bila shida yeyote, msaada wakuu maana nakosa amani kabisa na zimekuwa zikijirudia mara kwa mara.
Sent using Jamii Forums mobile app