Hizi ndoto zina maana gani?

Njoo pm rafiki yangu. Maana mpaka nimekuonea huruma. Lakini kiufupi umeshaolewa na pepo mchafu na umeshawazalia watoto. Na hautakuja kuzaa watoto wa kawaida na kama ukizaa watakufa. Pia utakuja kuolewa na ukiolewa either Mwanaume atakufa maana mumeo ambaye ni pepo litamuua. Mimi niliwahi kuwa katika scenario kama yako ila mimi nilikuwa nafanya mapenzi na mtu nisiyemjua. Kila uhusiano niliouanzisha ulikufa mwishoni nilipata mpenzi mlokole alinipenda kweli na mimi nikamhadithia tatizo langu. Akanipeleka kanisani kwao nikafunguliwa. Na sasa hivi ndio mke Wangu. Lakini vita ilikuwa kubwa mpaka Leo imeniachia maumivu. Mapepo hayakuachii kirahisi
Nishakuja pm
 
Aiseee inahitaji moyo kufunguka. Pole sana,hope utakua poa soon.
 
Hii ndoto hunirudia mara nyingi naota nimezaa mtoto,kila mara naota nimezaa katoto mara kananiongelesha bado kachanga,
Je ni ndoto tu za kawaida au leo nimeota nimejifungua mtoto tena halaf eti wanakuwa haraka ,na huanza kujiuliza sasa mbona nimejifungua mwanaume niliyezaa nae simjui na wala haonekanii nakuwa mim tu na mtoto,

Nyingine ambayo huota sana ni kuota nafunga ndoa ,nipo napambwa nishavaa shela naanza kujiuliza naolewa na nani,na sioni muhusika wa kunioa,watu wamejaa wanashangilia lakin mume simuoni
Au naota naolewa lakin hatufikii hitimisho simuoni mume,au nikimuota mpenzi wangu nafunga nae lakin naishia kuvaa shela kanisani sifiki baadae nashtuka

Au ni kawaida tu wakuu
Pole mwaya majin hayo usiache kuomba
 
Hizo ndoto ni hatari Sana zinaonyesha umeolewa katika ulimwengu wa roho (jini mahaba) au kwa lugha nyingine wanaitwa spiritual husband. Ukiona umeolewa katika ndoto ujue umefunga ndoa ya maagano katika ulimwengu wa roho.
Watu wengi wamefanya maagano ya kindoa na hizi roho za spiritual husband au spiritual wife.wana madhara makubwa Sana katika maisha ya mtu. Mfano yanazuia mtu kutokuoa au kuolewa. Kwa mwanamke kila mwanaume atakakuwa Kama hakuoni vile ingawa unatabia njema, unakazi nzuri kwa sababu anayekumiliki hapo ni Huyo spiritual husband. Na kwa mwanaume unakosa Nia na hamu ya kuoa kwa sababu ya Huyo spiritual wife. Kama wewe ni mkistro ingia YouTube tafuta video za TV Joshua kwa kutumia keyword hii "marriage counselling " utaona testimony nyingi zikionyesha watu waliofungualiwa katika spiritual wife au husband. Njia Pekee ya kuondoka katika hayo maagano ya kindoa katika ulimwengu wa roho ni kuwafuata watumishi wa Mungu wakufanyie maombi ya kuvunja hayo maagano
 
Back
Top Bottom