Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

Ungeweka na mwaka uliyofunguliwa nadhani tungepata picha ya ukongwe mfano sijaona Mwenge na Tanga .... hata za private Kama shule za makanisa
 
Hapa sioni Grewal (Bukoba) secondary schools.
 
Chidya secondary school.
Since 1923.
Tumesoma wakongwe wengi.
Lindi nimesoma but ni ya 1954, ni junior wa Chidya
 
Zaina zaina,zaina mtoto mzuri zaina kutoka mangamba zaina,nipe raha zaina.
Enzi hizo tukikimbia mchakamchaka hadi mnarani.
Unaijua coast?unaijua millenium club?enzi hizo za Mwl Mnelamwana kauzu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao kina Feza wana historia gani ukilinganisha na kina Umbwe, Ashira kama sijaiona hapo pia vp kina Minaki na Pugu unaziweka pamoja na Marian? Hapana
Ulivyosena umbwe umenikumbusha katizi, soko la kombo, desert, kwa raphaeli, hakuna kulala, dorm five, na mto umbwe una bonde kubwa vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…