Home decoration
Member
- Oct 19, 2018
- 44
- 71
Naomba kuuliza wakuu hizi ndo pep
Dawa za kuzuia maambukizi hiv ndani ya saa 48Zinasaidia nn?
Tanesco dadaZinasaidia nn?
Naona kama zinafanana. Nilizotumia mara ya mwisho mwaka jana ziliandikwa LA.... Hizo desh ni tarakimu nimezisahau.Naomba kuuliza wakuu hizi ndo pepView attachment 3281045View attachment 3281046
Okay sasq ndo zenyewe au ??PEP ni 'post exposure prophylaxis' ni dawa zinazotumika kwa watu ambao wana wasiwasi wa kuambukizwa ukimwi. Kama vile nurse kugusa damu ya mgonjwa wa ukimwi, na hizi ndizo dawa zenyewe za ukimwi. Tofauti ni mtu kuzitumia kwa mwezi mmoja tu.
Unakunywa kabla au baada ya kuangalia madeni kwenye salary slip kupitia mfumo huo?PEPMIS
😄😄😄😄Okay sasq ndo zenyewe au ??
😆😆😆😆Okay sasq ndo zenyewe au ??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Okay sasq ndo zenyewe au ??
Mwambie aisee kabla masaa 48 hayajapita.Na kama ni klorokwini aambiwe.😆😆😆😆
Heeeee 48 tena? Sio 72?Dawa za kuzuia maambukizi hiv ndani ya saa 48
Sasa hvi wanasema 48 ukichelewa umeishaHeeeee 48 tena? Sio 72?