Hizi ndo kashfa za ufisadi zimewahi kutikisa Tanzania na waasisi ni ccm na bado wanakula bata

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Wananchi wa Tanzania msisahau hizi kashifa za ufisadi zimewahi kutikisa nchi na nje ya nchi na wahusika ni wanaccm na si upinzani

Na cha ajabu mpaka sasa makada wa ccm waliowahi kutuhumiwa na kashifa hizo wapo ccm na wanakula bata waliopo gerezani ni watu wengine kabisa

Richmond-EL

Kagoda-RA

Escrow-WN,AT,AC

EPA

MEREMETA

Na nyingine nyingi

Ccm bwana,mapapa wapo mitaani,dagaa gerezani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utani bas kwaiyo trilion 2 sio ufisadi au ni UMAFIA ?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Chama cha mafisadi wanapokeana wenyewe kwa wenyewe. waarsbu wa Pemba wanajuana kwa vilemba .
 
Back
Top Bottom