Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,568
- 13,543
Kwa Mara ya kwanza tangu wakati Wa jk nyerere ndiyo tumepata rais anayefanya ziara za kikazi wengine walikuwa wanafanya ziara za matembezi au kuzurura.
Magufuli amefanya kazi kubwa kuelekeza nini kifanyike na kutoka karipio na maagizo yanayojenga na kutoka maamuzi hapo hapo kiasi cha kuwafurahisha wawekezaji hususani dangote.
Amezindua miradi mbalimbali na kutoka speech zenye mvuto kusikia kiasi ambacho watu wana hamu kila Mara kumsikia tofauti kabisa na watangulizi wake walikuwa wanatoa plain language.
Hakika rais tunaye na 2020 atabeba au atajizolea 95% ya kura mana kila kona sasa hini ni jpm tu kana kwamba upinzani umefutika.
Watu walifili issue ya lema kutoka sero ingekuwa inaclick vichwani mwa watu mpaka Leo lakini watu waliipuza kiasi ambacho wapinzani wanawaza warokeje. Lisu na makesikesi yake lakini hakuna anayejali wala kuzungumza Ila jpm akienda popote watu wote wanakuwa attentive au nchi nzima inashawishika kumsikia.
Mwanzini wapinzani walituaaminisha kuwa speech za magu hazifai lakini kadri Siku zinavyoenda watu wanazipenda kinoma.
Big up our beloved president.