Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,980
- 32,287
ashante
...unamaanisha Ashanti au SharKhan?
ashante
Mbona zawadi zenyewe kama za upendeleo...
...fafanua.
kama wamependelewa wadada tu!
We watu8 unataka niwaletee Lamborgh?
mmh Lamborghini mtaani kwetu haliwezi kupita...mi nataka vile viboti vya majini vimekaa kama scooter(pikipiki), najua kile nikikipata tokea huku kwetu kunduchi nakua naenda posta kupitia baharini.
'Wabongo mnapenda sana starehe kuliko kazi,
Mnatamani mngezaliwa Brunei Mmwage radhi'- Prof. Jay.
Haya subiri nitakununulia ila Loya asijue.
heheh...jaman Madame B sio starehe, tunafanya maisha yawe mepesi tu, usijali tutakua tunaitumia wote kwenda Bongoyo na Mbadya...
Loya wala hatajua
Mabwaku.
Nashangaa,
Mpaka nashanga.
za kiunoni, shingoni au mguuni?
...Hv kwanini Mas.hoga wanavaaga shanga?
mmh swali gumu hilo Madame B, labda ni kwa sababu ile ile itumikayo kwa kina dada wavao hizo shanga...halafu utamaduni wa shanga ni wa watu wa huku Pwani
..kwa maana hyo unataka kusema kuwa Mash.oga wengi wanapatikana maeneo ya Ukanda/Mwambao wa Pwani?