Hizi ndizo tabia mbaya ambazo wanawake wengi wanazo

sosssy

JF-Expert Member
Nov 17, 2017
668
534
1. Si wakweli hasa ikiwepo harufu ya pesa sehem, mwanamke yuko tiyari kumuita mwanaume wake kinyago, mjinga, mwanaume suruali kisa kaishiwa hela, wanaume wengi sana wamesaidia wanawake mpaka wengine kuwasomesha wameambulia majibu ya kejeli na dharau , hii imenifanya niwatazame kwa jicho la 3 wanawake

2. Roho mbaya,
Mwanamke anaweza akawa anacheka na Mme wake na ndugu wa Mme wake akiwepo kumbe kuna suala analichukia na ana plan za kulitimiza tena kwa njia isiyo sahihi SAA nyingine kumuua MTU au kumfanya msukule kabisa, na pengine kuwanyima hata Huduma muhimu watu wanaokuja pale Nyumban kama Mme wake hayupo,

3. Ushirikina, kwa tafiti za kweli na za uhakika asilimia 70 ya wanawake ni washirikina au wanaamini katika nguvu za giza sana sana, Mara utakuta vest yako au nguo yako ya ndani imepotea mazingira ya kutatanisha au ukiangalia uvunguni uone vinavyo ning'inia au ukiwa shambani kwako kuna mambo anazika chini wanawake jaman wanawake, hapa wanawake wamefika hatua kuchuja chai kutumia nguo zao za ndani kisa kumshika Mme,

4 wanarudisha maendeleo ya MTU nyuma sana, kila mwanume alipofeli kuna mkono wa mwanamke, na niwasaliti katika mission za maendeleo za muda mrefu, unaweza ukapanga na wenzako jambo baadae lika leaky usijiulize nani ni Huyo mwanamke, mifano hata kwenye biblia IPO sana kina Samson, kina Sarah na wengine, hata waziri mkuu wa Lebanon aliwahi kumfukuza nkewe kwa kuvujisha siri kwa waisrael,

5. Mwanamke anajifanya ana huruma kumbe kuna anachotaka kwako hasa akigundua kuna kabiashara umefungua yaan hatari sana,

6. Ushauri wakikutana vikundi na kutulisha uchafu, " KIJANA UNA MIAKA 27, HUU NDO UMRI WA KULA KILA AINA YA UCHAFU KUTOKA KWA WANAWAKE" Alinishauri mbibi mmoja akijua Naye katokea uko, wanawake hatari,

7. Kutoridhika yaan hatari sana anaweza kuwa kwako kumbe we kwako ni kama mapito tu anatafta final destination, yaan mwanaume mwenye hela na akishakuwa naye anaanza dharau

8. Atakutenga na ndugu zako na marafiki wa karibu kupitia ushauri anaokupa ukilegea mnawatenga, ukionekana una msimamo anajifanya kuwapenda ila anabadili mbinu kama haupo anawadili ipasavyo hata marafiki wakija anawatreat vibaya,

9. Mwanamke ni MTU asiye na kujali mda kila mnapoenda kusimama kuuliza bei wakati anajua lengo la kwenda pale si kununua hicho, na SAA nyingine hana hela anasimamisha machinga kujaribu nguo kuzitia nuksi wakati hanunui

11. Suala la kumchuna mwanaume yaan mwanamke anaweza kuwa na sh laki moja lakin we una elfu moja tu, ya kwake anaficha anataka mgawane buku lako duh hatar sana yaan ,au Huduma ya kwenye familia anaona mwanaume ndo anapaswa kufanya kila kitu ambacho kinahitajika, hela zake ni za nywele na nguo tena zake we hununuliwi.

12. Mwanamke anaweza kuwa anajua fika kuwa ni mweka hazina wa kundi Fulani au umekuja na hela unaipeleka sehemu, ukakuta kabisa ameitumia na anaona njia ni kumaliza tatizo ni kukuomba samahan tu yakaisha yaan wanawake,

13. Anaweza tembea na boss wako alafu akamshauri we ufukuzwe kazi ili upigike ye atese he he, mh

14. Ukiwa na appointment naye sehem au hotelin ni wa kwanza kuwakoromea wahudum wakati sio yeye atakayelipia , na utasikia HAWA WAHUDUMU WA KITIMOTO HAWATUONI SIJUI, alafu bar yenyewe chafu, yaan anavyoichambua utadhani kalipa,


Pongezi kwa wale wachache wanaojiheshimu

Kama unakubaliana nami sema chochote kisha SHARE post hii mpaka iwafikie wanawake wote waache vijitabia hivyo VINAKERA MNO HUSUSANI KIPINDI HIKI ELA NGUMU
 
We umejua lini mkuu,kuanzia leo wafute kwenye simu yako na usiwatafute tena,maana kwa tabia hizo hawakufai kabisa...
 
15. Usiri.
Mwanamke anaweza kuificha siri ya ubaya wake ukaishi nae hata miaka 10 na usijue..akitambua fika kama ungejua basi mapenzi/mahusiano yatakwisha.

16. Maigizo.
Anaweza kusifia jambo, akaliapokea jambo kwa muitikio mzuri ukihisi upo pamoja nae au analipenda..kumbe hakipendi anaigiza tu.

17. Kukunyima utamu.
Muda ule upo tayari mizuka imeamka unaomba mechi anasingizia anaumwa au hajisikii vizuri..sababu za msingi hakuna, au ana jambo lake analolitaka mpaka umkubalie.
 
Back
Top Bottom