Inategemea na mazingira ya sehemu. Kazi hatarishi Tanzania inaweza kuwa kazi salama Ulaya.Wasalamu,kazi ni kazi ila zipo kazi hatarishi hapa ulimwenguni.
1.Logger
2.Ujenzi wa magorofa
3.Gabagge Collector
4.Uvuvi
5.Ukulima wa kutegemea mvua
6.Truck Driver
7.Iron steel worker
8.Kuezeka(Roofer)
9.Pilot Engineer
10.Kuchimba Madini.
Inategemea na mazingira ya sehemu. Kazi hatarishi Tanzania inaweza kuwa kazi salama Ulaya. Hapa kwetu hata bodaboda ni kazi hatarishi.
Mh.. Mbona ujenzi wa maghorofa siyo hatari... hasa kwa mazingira ya nchi zilizoendelea.Ni hatarishi Ulimwenguni
AjaliKwanini Boda Boda ni hatarishi?
Tunazungumzia chances mazee. Ushawahi kusikia neno probability? Kwa kiswahili ni kama ''uwezekano wa tukio kutokea'' Usiniambie umeanzisha thread inayoelezea probability ya jambo kutokea wakati hujui!Kwani magari hayapati ajali?