Hizi ndizo kauli za dadapoa

Hiyo namba 4 na 20 dah……
 
Ikifika mda wa kuoa utafanyaje sasa, au utaoa wanaojipanga barabarani Think2
Kwasasa huwezi kuwatofautisha enaejipanga barabarani na WA geti Kali wote ni Malaya TU sababu kama huna hela huwapati, kifupi wote wanadanga ila Kwa mbinu tofauti. Sema wanao jipanga barabarani hawana usumbufu na ndo kimbilio la wengi Kwa wasiopenda usumbufu na gharama nakuepuka kufuatana fuatana na kupigwa mizinga.

Na kuhusu maradhi wabarabarani wako makini kuliko hawa wanaojifanya watulivu, kifupi kwote chukua tahadhari.
 
Nimehamia dar kikazi, wenyeji wamenishauri nitafute chumba kimboka ndo wapi huko.?
Sisi matajiri wa Dar na manispaa ya Ilala tumevunja lile eneo Buguruni tunajenga migorofa ya maana.
Huo uasherati kafanyieni Tandika kwa wahaya au Sinza Corner Bar au Ilala Galapo,au Meeda Sinza.
Au Ubungo Riverside na darajani Kijazi interchange.
 
We jamaa 😂😂😂😂🫵🫵🫵 mi ningepata bahati.kama hizo daaah....

Sasa unazani baada ya hapo wanakuonaje ety.

Kuna siku utakuja upigwe aiseee kuna wadada wana hasira kali sana hiyo michezo sio mkuu..

Mbeya maeneo ya tunduma kule au chunya oa kuna malaya kinomaaa an
 
Sasa mbona wateja ndio mnaishia kudhalilishwa na hamheshimiwi? na pesa mnatoa, shida nini? Mteja si ni mfalme.

Na 4 na 16 sio mchezo ukilala usiku lazima uyakumbuke ujione Fala🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…