Hizi ndizo kauli za dadapoa

Una shida wewe
Shida ipi?

Maisha yangu O Level nimepita sana pale Buguruni Sewa mida mibovu nikiwa na wanangu,Kimboka nimepita sana nilikuwa na toka Pugu Sec kupiga Practical kwa Mzee Kiberiti kwa kifupi hawa malaya nimewaona sana, ila sinaga mzuka wa kununua malaya. Mtaa mmoja wapo niliokuwa nikikaa kulikuwa na malaya watatu, wanajiuza wawili kutoka Arusha (Wambulu) wazuri haswa na mmoja sura ya baba ila kafunga bonge la tank, ila sijawahi kumla hata mmoja.

Si wengine tunatabia za jogoo, tunapenda tugonge demu ambaye umemsumbukia.
 
hapo umemaliza kila kitu mkuu.
 
Ahahaha tabia za ajabu hizo et za jogoo..
We jamaa mybe niseme tuu itakua ni mtu wa ngono sana ndo mana umezoea an hata pisi haikufanyi uzubae ila ningekua mimi mkuu aiseee mi siwezi vumilia..

Mi siwezi na sijawahi kuwa na tabia ya jogoo aiseee kitu kikija easy basi kitaiwa hv hv aiseee
 
Wastage of time and money sasa unkuta demu anaringisha utadhani wengine hawana tena unapewa na romance ya bure kbs, mm siwez hangaikia demu wiki nzima htk imeisha iyo
 
Makuzi niliyo kulia so nimeviona sana.

Sema nilitakaga kununua nilipo enda Mbeya, tuliingia Mbeya pazuri nilikutana binti mmoja mzuri na kama unavyojua maumbo ya wanawake wa Mbeya, halafu wenzangu wote watatu nilioenda nao walichukua malaya,niliishia kumnunulia bia. Ila na shukuru nilikaza ila ilikuwa kidogo tu ni mchukue yule binti, kwani hata mzigo mfukoni nilikuwa nao kwani nilikuwa na kazi ya mwezi mzima,halafu wiki hiyo kulikuwa na mvua ya maana.Yote kwa yote funga kazi ilikuwa Singida, kwenye Bar ya Kilimani aisee Wanayaturu ni wanamatako, acha kabisa halafu siku hiyo palijaza.......... pale nilienda kula ilivyofika saa tatu nikaenda kulala maana ningendelea napo ningenunua tu.
 
Wastage of time and money sasa unkuta demu anaringisha utadhani wengine hawana tena unapewa na romance ya bure kbs, mm siwez hangaikia demu wiki nzima htk imeisha iyo
Ila si shangai nina jamaa yangu mmoja,tulijuliana kwenye mabanda ya mpira. Yule jamaa anakwambia yeye maswala ya kutongoza hana, akiwa na hamu alikuwa anaendaga Kimboka au Swiz Pub Tabata. Kuna kipindi malaya mmoja wa Kiarusha alikuwa na kapanga kitaa,showtime 10k.Basi jamaa akiwa na ugwadu anampa ten ,anapiga lake moja anamsha, jamaa nimejuana nae zaidi ya miaka kumi na mitano,mpaka sasa mwendo ni huo huo hana time kabisa ya kutongoza so sikushangai kabisa.
 
Malaya wanajulikana tu iwe usiku au mchana. Ni kukaa mbali nao.
Una experience ya miaka mingapi
That is
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…