Ila kimsingi Mwendazake alikuwa mpumbavu sana. Yaani kila kitu anapeleka Chato badala ya Geita mjini.
Yaani serikali hii bhana Dah!!Mijadala mingine ni matumizi mabaya ya muda, Geita haina hata miaka 10 tangu igawanywe, kisa JPM tu ndiyo watu mnahaha eti Chato............huu ujinga ukiendelea kila atayekuja atataka kwao kuendelezwe na hapo ndiyo nchi yetu itaanza kupotea. Soon Buhingwe nako watataka mkoa kisa VP
Ngoja na mimi nikiwa Rais kijiji changu kitakua mkoa.Geita tutapata stendi ya mabasi yenye lami tofauti na sasa kwenye tope ili hali Chato kuna stendi ya kisasa.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Una uhakika au unafikiri wanaposema uwanja wa ndege wa songwe unajua upo songwe? Acha kupotoshaMbeya pia haina kiwanja cha ndege. Kwahiyo usifikiri kila mkoa lazima uwe na uwanja
Asante kwa masahihishoUna uhakika au unafikiri wanaposema uwanja wa ndege wa songwe unajua upo songwe? Acha kupotosha
Nimerudi kwenye ramani uwanja upo mbeya mkuuMbeya tatizo waliacha kuutumia ule wa zamani pale maeneo ya TIA Airport ya zamani.
Kweli kabisa una Tisha hayo ndiyo mawazo Chanya kwa Kika Jambo linalo ku faseLicha ya Chato kuwa Mkoa ni nafasi ya upendeleo ebu tuangalie faida tutakazo zipata sisi wana geita.
1: Tunahitaji kiwanja kipya cha Ndege kujengwa mkoani geita kwakua Geita tutakua hatuna kiwanja cha Ndege.
2: Kama tunavyo jua Timu yetu ya Geita Gold FC rasmi imeingia ligi kuu. Hivyo tutakua na nafasi ya kujenga kiwanja chetu ndani ya mkoa wetu, kuliko kuiacha chato kua ndani ya mkoa wa geita ambayo tayari imebeba uwanja wa mpira wa mkoa.
3: Tutahitaji chuo kipya cha ufundi VETA kijengwe ndani ya Mkoa wa Geita tofauti na ilivyo Sasa vijana watatakiwa kwenda kujifunza Chato.
4: Tutahitaji Geita kujengwe bohari mpya ya madawa, ni tofauti na ilivyo Sasa Bohari ya mkoa ipo Chato.
5: Itakua ni rahisi Mkoa wa Geita kuwa na maendeleo kwakua itakua ni miongoni mwa Mikoa midogo hivyo kwa mapatao yatakayo patikana. Ni rahis kuratibu maendeleo na kucover karibu kila eneo la mkoa wa Geita, tofauti na geita kuachiwa eneo kubwa kipato kisingejitoshereza kwa kiwango kikubwa kufikisha maendeleo kila eneo Kama Chato itaachwa mkoa wa Geita.
Ushauri wangu:
Wakazi wa Mkoa wa Geita tusione kama tutapoteza chochote, tukiwa na viongozi wenye maono na Geita kwanza wao itawapunguzia ugumu wa kufikisha maendeleo kila sehem Mkoa na itakua rahisi kufanya yale mambo muhimu ambayo yalifanywa wilayani Chato.
Uwanja upo songwe sio mkoa wa songwe, lile eneo linaloitwa songwe ulipo uwanja lipo songwe na sio mkoa wa songweUlikua sahihi mkuu uwanja wa ndege wa songwe upo songwe nasi mbeya, sema eneo ulipo ni jirani sana na Mbeya.
Mbeya haina uwanja wa ndege