Hizi ndizo dalili 7 za mapenzi bora kwa umpendae

Hizi ndizo dalili 7 za mapenzi bora kwa umpendae

Kwiyo

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
64
Reaction score
11
mapenzi bora.jpg
Nguli wa fasihi Tanzania alishawahi kuongelea mapenzi bora katika kitabu chake kiitwacho Mapenzi bora.

Nguli huyu SHABAN ROBERT alihimiza sana swala la mapenzi bora hii ni kwa sababu mapenzi bora huleta afya, mapenzi bora huleta amani ushilikiano na upendo,mapenzi bora hujenga familia bora mno, mapenzi bora pia huwa kinga ya magojwa, na mapenzi bora ni dawa na tiba.
Yapi ni mapenzi bora:

  • 1 Kupeana ushauri mwema wa mahusiano yenu,
  • 2 Kuulizana kipi mwenza wako anapenda na kipi hapendi,
  • 3 Kuliwazana pale kunapokuwa na huzuni (kuwa mfariji mwema),
  • 4 Kuepuka ugomvi usokuwa wa lazima,
  • 5 Kushilikiana katika kuleta maendeleo mema ya kifamilia na kijamii,
  • 6 Kuonesha upendo kwa dugu,jamaa,marafiki na watu wote wa karibu yenu,
  • 7 Ucha Mungu
 
mbona sijaona nguvu ya pesa hapo?

kwa warembo wa sasa, money is the catalyst, iwe ni true love ama fake love!!

Dar es salaam kwa sasa hakuna mapenzi wala wapenzi!

your pocket money will make you look handsome and gorgeous hata kama una sura kama ya remmy ongala!
 
Mleta mada amesema MAPENZI BORA Nyie mnaotafuta nafasi ya PESA hapo haina nafasi! Ukikosea ukaiingiza hapo hukuna MAPENZI AMA UPENDO tena kinachobaki hspo ni mahusuano ya ki-comedy. BAKINI NJIA KUU WAJAMENI hamtaiona nafasi ya pesa katika hilo. . . . . . . Napita
 
Hayo mapenzi ya aina hiyo yamesalia tu kwenye vitabu vya fasihi,mapenzi ya sasa ni pesa tu mengine mnavumiliana!
 
mbona sijaona nguvu ya pesa hapo?

kwa warembo wa sasa, money is the catalyst, iwe ni true love ama fake love!!

Dar es salaam kwa sasa hakuna mapenzi wala wapenzi!

your pocket money will make you look handsome and gorgeous hata kama una sura kama ya remmy ongala!

Usikalili .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom