Hizi ndizo bidhaa original toka enzi

Kumekua na bidhaa Original toka zamani japo siku hizi zimekua nyingi.Kuna kitu usipokitumia moyo wako hauwi na furaha.
Hebu tushee kwa pamoja bidhaa ambayo unaipenda kuitumia sana iwe Sabuni,mafuta ya kujipaka,chochote ili tushee uzoefu.View attachment 2692608
Sabuni yangu pendwa. Nilirithi toka kwa mzee wangu maana ndio ilikuwq sabuni yake toka najitambua mpaka anaaga dunia mwaka juzi
 
Hili linda ni used spare part.
Wewe chukua hii
e4973e05e6b5446da8d7f05bece7f5bd.jpg
 
Back
Top Bottom