Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

We jamaa Mshamba kweli; Milioni 21 kwa mwezi kwako ni hela ? Unajua kazi ninazofanya?

Mkurugenzi wa MSD Aliyetumbuliwa anapokea 20 M kwa mwezi ; Mbona mishahara ya 20 M ni kawaida hata bongo!

Unajua Range za mishahara ya WHO?

Punguzeni ushamba basi kwa yale msiyoyajua. Unaweza kusikia nalipwa Dola hizo lakini do you know work permit nalipia kiasi gani kila mwaka ?

Yaani katika East Africa Tz ndio taifa Lina watu washamba na wasiokuwa na exposure ya maisha.


Mk54
naungaa na wewe mkuu, sisi hatuna exposure...
ndio maana hata mavyuoni wadhiri wakipewa teuzi au nafasi za utendaji serikalin wanapagawa hata taaluma zao wanaweka pembeni.
Prof Kabudi, ashawahi kusema nakushukuru JPm kwa kunitoa jalalani....coz he was lack exposure
 
A

fiSa II wa TRA yoyote anaanzia 2.7 hiyo ndo tra scale ya sasa 4.1 scale, unakatwa laki 4 ya tra hapo hpo, inabaki 2.3 nfo makato mengine yanafuata baada ya makato ni around 1.68 mil take home hiyo, naongea nikiwa nasoma mkataba wa mwaka huu wa mshikaji wangu wa karibu sana.

Tuzidi kusaidiana kwa data zaidi ili tuujue ukweli, jamani nataka kujua kuhusu hawa NAOT najua mshahara tgs E ni wq kawaiiida sana, vip posho zip jamani mwenye data halisi tusaidiane ikiwezekana nataka nitoke private nalipwa 900,000 niingile setikalin database audit, kabla sijaanza kujiumiza na hizi interview ningependa nipate data kwa wazalendo wenzangu kutoka kwenye hii forum.
mkuu upo sahii...
serikal kuu tgs e inaanza 910k, ukikatwa unabk na 700k na bod kama unayo unabak na 560k
nichk pm
 
Back
Top Bottom