kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,528
- 12,622
Private sector ikiyumba lazima madhara yaonekane.kumbuka enzi za late MagufuliHivi private huwa ni ajira au kibarua
Private sector ikiyumba lazima madhara yaonekane.kumbuka enzi za late MagufuliHivi private huwa ni ajira au kibarua
watanzania wengi tuna tabia ya kudharau tusichokijuaPrivate sector ikiyumba lazima madhara yaonekane.kumbuka enzi za late Magufuli
naungaa na wewe mkuu, sisi hatuna exposure...We jamaa Mshamba kweli; Milioni 21 kwa mwezi kwako ni hela ? Unajua kazi ninazofanya?
Mkurugenzi wa MSD Aliyetumbuliwa anapokea 20 M kwa mwezi ; Mbona mishahara ya 20 M ni kawaida hata bongo!
Unajua Range za mishahara ya WHO?
Punguzeni ushamba basi kwa yale msiyoyajua. Unaweza kusikia nalipwa Dola hizo lakini do you know work permit nalipia kiasi gani kila mwaka ?
Yaani katika East Africa Tz ndio taifa Lina watu washamba na wasiokuwa na exposure ya maisha.
Mk54
mkuu upo sahii...A
fiSa II wa TRA yoyote anaanzia 2.7 hiyo ndo tra scale ya sasa 4.1 scale, unakatwa laki 4 ya tra hapo hpo, inabaki 2.3 nfo makato mengine yanafuata baada ya makato ni around 1.68 mil take home hiyo, naongea nikiwa nasoma mkataba wa mwaka huu wa mshikaji wangu wa karibu sana.
Tuzidi kusaidiana kwa data zaidi ili tuujue ukweli, jamani nataka kujua kuhusu hawa NAOT najua mshahara tgs E ni wq kawaiiida sana, vip posho zip jamani mwenye data halisi tusaidiane ikiwezekana nataka nitoke private nalipwa 900,000 niingile setikalin database audit, kabla sijaanza kujiumiza na hizi interview ningependa nipate data kwa wazalendo wenzangu kutoka kwenye hii forum.
kwa ICT II, 1-1.3M sikushauri uje, hakuna rangi utaacha uone....Vip Vyuo vikuu kama Sua, Mzumbe, Udsm, Udom n.K kwa ajira za wasiokuwa walimu malipo yakoje kwa degree, diplima holder
huyu ni Assistant LectKuna mtu yupo serikalin, ana degree ya sheria UDSM. Aliingia serikalin 2010 hivi, 2014 alikuwa analipwa 2.6m. Nasema hivi sababu mpaka salary slip zake ninazo.
Na Tanzania standard news vipi mkuu?TCRA-Juniour officer 4.5M.
e-GA-Junior officer 2.8M na fringes benefits za kutosha.
TMDA hawa wana safari nyingi sana.
Mkuu kwa TSN sijajua.Na Tanzania standard news vipi mkuu?
Ttcl je?Mkuu kwa TSN sijajua.
Napo pia sifahamu mkuu.Ttcl je?
Mkuu mimi hii post ya TSN naomba inagoma aiseh ilihali vigezo nakidhi kabisa daah.Na Tanzania standard news vipi mkuu?
Post gani?Mkuu mimi hii post ya TSN naomba inagoma aiseh ilihali vigezo nakidhi kabisa daah.
sales and marketing officerPost gani?
Inakuandikiaje?sales and marketing officer
700,000/-Na Tanzania standard news vipi mkuu?
Kumbe napo njaa700,000/-
Na Tanzania standard news vipi mkuu?
700,000/-
Application failed , please check program categoriesInakuandikiaje?