Hizi ndio Sababu 7 za kwanini Marekani ilishindwa vita ya Vietnam

Hahah unajua kukimbia wewe,mweupe sana kichwani,malengo yao yalishatimia ,Osama hayupo Tena,ugaidi wameupunguza,talibani ya kipindi kile imefutwa,hawakwenda kule kujenga nchi,wameachia wenye nchi yao,baada ya kuona ni salama ,mengine hayawahusu,hayo mavifaa hawana kazi nayo,ingekua mzigo tu kwao kuondoka nayo,na walishayaharibu sehemu za muhimu,kwa hiyo Kama screpa tu
Mambo mengine bwana yanashangaza sana, yaani Merikani kupigana kwote huko Afghanistan walishia kuwaondoa Wataliban na kuwaingiza/kiwaachia tena madaraka Wataliban ambao alikuwa anapigana nao kwa zaidi ya miaka ishirini - akili gani hizo?

Kitu kingine we unajuaje kwamba aliye uwawa huko Pakistani alikuwa ni Osama kweli na sio picha na video clip za kuchonga tu - wakati Dunia iliisha ambiwa kwa miaka mingi ya nyuma kwamba Osama alifariki kwa ugonjwa wa figo huko Afghanistan na sio Pakistani, tuamini lipi tuache lipi??
 
Vyot

Wanachoangalia je kuna threat yeyote ya ugaidi kwenye nchi yao?tukio la September 11 lilikuaa sio la kitoto
 
Vyot
Wanachoangalia je kuna threat yeyote ya ugaidi kwenye nchi yao?tukio la September 11 lilikuaa sio la kitoto
Ni kweli, lakini unawezaje kuamimi kwamba tulio hilo lililotekelezwa na vijana wa Kiarabu kwa ufanisi mkubwa bila ya vyombo vya usalama vya Merikani vinavyo sifika sana Duniani kushindwa kigunduwa mpango huo mapema - hii haingii akilini hata kidogo.

That was obviously an inside job ya kutafuta sababu ya kuivamia Iraq na baadae Afghanistan - cha kujiuliza hapa si wakati wa tukio hilo Osama alikuwa Afghanistan iweje tena vita vianzishwe Iraq kwanza na sio Afghanistani alipo kuwa anaishi/kaa Osama??

Kitu kingine angalieni kwa umakini sana jinsi majengo hayo yalivyo kuwa yanaporomoka ni wazi zoezi zima lilikiwa ni a controlled demolision/emplosion wahusika wa njama hizi walitegeshea very high explosives kuzunguka msingi wa column zote za majengo haya baadae wakazilipua - walio wahi kushuhudia controlled demolition watajua ninacho maanisha.

Mchezo wote huu lengo lake hasa lilikuwa kutafuta visigizio vya kuishambulia Iraq kivita na kumtoa madarakani Saddam Hussein, basi -kama kweli vijana wote 15 kutoka Saudi Arabia ndio walihusika moja kwa moja kwenye opetation hii ya KIGAIDI, kwa nini Merikani haikuchukulia hatua yoyote Saidi Arabia badala yake wanakimbilia kianzisha vita na Iraq ambayo haikuwahi kutuma magaidi kuishambulia Merikani au kuwa tishio lolote kwa maslahi ya Merikani popote Duniani.
 
... sababu zilizopelekea US kuingia Afghanistan hazipo tena. Kwanini aendelee kubaki huko?
Sababu ilikua ni kuondoa utawala wa Taliban wanayemuhifadhi bin laden na kumdaka bin laden,hizi ni sababu tulizoambiwa,lakini sababu zilianza tangu 1990s mwishoni,baada ya Taliban kukataa marekani kuvuna nishati ya nchi hiyo na kuwapa kampuni ya Argentina, marekani wakawaambia Taliban mtaona,9/11 majengo marefu yakabomolewa,wapangaji wa kiyahudi wa jengo Hilo ambao walizidi elfu 3 wote hawakuwepo siku ya tukio,ndege iliyopiga pentagon haikuacha vitu,mkia Wala mabawa ya ndege pale pentagon na Wala hapakua na dalili ya mafuta,so kilichoipeleka marekani Afghanistan ni kilekile kilichoipeleka urusi na kushindwa Vita awali
 
... bin Laden kaacha maoteo kibao pale; ilikuwa lazima kuyamaliza kabla ya kuondoka.
Bin laden alibaki peke yake,maana mullah alishauawa na zawahir...mkurugenzi wa CIA alinukuliwa akisema anajua exactly bin laden alipo,hiyo 2005,bin laden na alqaeda 1600 waliachwa wakatoka tora Bora kwenda Pakistan wakati wa Vita mwishoni 2001,bin laden hakuwa kisa Cha USA kwenda Afghanistan
 
Ona aibu jamaa talibani wamewahenyesha miaka mingapi hadi mkakimbia na kuacha zana😅😅😅😅😅
Sio zana tu, US vile vile walitimua mbio wakawa hachia tena madaraka Watalibani waliokuwa wanapigana nao vita kwa. miaka ishiri 20!!

Mambo mengine ya Wamerikani ukiyafikiria sana ni vigumu kuwaelewa - hivi huwa wanapigana vita kwa lengo gani na wana achieve nini mwisho wa siku - mfano: Aghanistani na VietNamn-what did they achieve??
 
Wanataka kuprove their superiority and they fail
 
Wanataka kuprove their superiority and they fail
Si unajua tena swaggers za wenzetu hawa: Ujiona ni extremly omnipotent and omni present kila pembe ya Dunia - hizo ni imani za ki-virtual World hazina ukweli wowote in real World, kwa bahati mbaya hilo wao hawalioni.
 
Back
Top Bottom