Hizi ndio nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya hutoboi hata kwa dawa

Hizi ndio nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya hutoboi hata kwa dawa

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
7,070
Reaction score
19,193
Nchi nyingi za Mashariki ya kati na Asia ya kati zina sheria kali sana linapo kuja suala la kukabiliana madawa ya kulevya,hizi ndo nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya kukiepuka kitanzi sijui ashuke malaika gani.

(1) Iran - Ndani ya Iran ni bora ukamatwe ukiifanyia upelelezi Israel au Marekani lakini usiombe ukamatwe na aina yeyote madawa ya kulevya utataga kiufupi hakuna muujiza wakukunusuru na kitanzi,kesi zinazo husu madawa ya kulevya hukumu zake huwa zinatekelezwa ndani ya muda mfupi sana.
(2) Saudi Arabia - hii na yenyewe hutoboi.
(3) Indonesia - hutoboi.
(4)Malaysia - hutoboi
(5) Vietnam - hutoboi hata huyo mkenya aliye kamatwa kwenye hiyo nchi atanyongwa tu hata dunia ipige kelele kiasi gani.
(6) Singapore - hutoboi
(7) China - Japo kuwa nao wana sheria kali kuhusu madawa ya kulevya lakini kuna wakurugwa kibao wametoboa kwenye kesi kama hizo wakahukumiwa kwenda jera tu na si kunyongwa.
Lakini pamoja na hayo bado wakurungwa wanajitoa muhanga na kuna wengine huwa wanafanikiwa kupenya.
 
China kuna sehemu KITANZI kuna maeneo KIFUNGO na kuna maeneo ukikamatwa na madawa haijulikani kama unaenda kufungwa au kuuliwa yaan unapotea kabisa unless lbda uwe unatoka katika nchi amabayo china ni friend au ina maslahi nayo sana ndio itafanyika diplomasia
tofauti ma hapo unapotea mazima
mm naona hii sheria ni nzuri sana hata hapa TANZANIA ingeletwa sheria hiyo
tumepoteza NGUVU kazi kubwa sana ya TAIFA kutokana na vijana kuwa na uraibu na hayo madawa tumepoteza hata marafiki ndugu wa karibu kabisa amabayo wangekiwa tija na msaada kwa familia zetu lkn mwisho imekuwa mzigo inauma sana
 
Lakini Iran kuna tatizo kubwa la watumiaji wengi wa madawa ya kulevya, biashara itakuwa ni miradi ya maafisa wanakula sahani moja na mapusha, hizo sheria zimewekwa kupunguza ushindani
Kuna mwaka fulani mwana mmoja wa familia ya nzito ya Saudia alifia Tanzania na kilichomua ni matumizi ya ngada. Kwa hiyo hata katika hizo nchi ambazo kuna sheria kali kuhusu ngada sio kwamba ngada hamna zipo na tena zinatumiwa na wakubwa. Huyo marehemu alikuwa ni mtumiaji toka akiwa Saudia. Ni sawasawa kwenye nchi za kiarabu ukahaba hauruhusiwi ila wananchi wa nchi hizo utakuta wanaagiza wanawake na mashoga ili wakatimize tamaa zao chafu.
 
China kuna sehemu KITANZI kuna maeneo KIFUNGO na kuna maeneo ukikamatwa na madawa haijulikani kama unaenda kufungwa au kuuliwa yaan unapotea kabisa unless lbda uwe unatoka katika nchi amabayo china ni friend au ina maslahi nayo sana ndio itafanyika diplomasia
tofauti ma hapo unapotea mazima
mm naona hii sheria ni nzuri sana hata hapa TANZANIA ingeletwa sheria hiyo
tumepoteza NGUVU kazi kubwa sana ya TAIFA kutokana na vijana kuwa na uraibu na hayo madawa tumepoteza hata marafiki ndugu wa karibu kabisa amabayo wangekiwa tija na msaada kwa familia zetu lkn mwisho imekuwa mzigo inauma sana
Na punda akifanikiwa kupenyeza ngada China malipo yake yanakuwa mazuri zaidi na ndiyo maana pamoja na adhabu zote hizo lakini punda bado wataendelea kubeba mizigo kupeleka China
 
Lakini Iran kuna tatizo kubwa la watumiaji wengi wa madawa ya kulevya, biashara itakuwa ni miradi ya maafisa wanakula sahani moja na mapusha, hizo sheria zimewekwa kupunguza ushindani
Nilivoiona Iran kwenye list nilidharau tu. Iran inakuzwa sana; mara nyingi ukiona wana nyonga mtu kwa kosa either la ulawiti au hayo madawa ya kulevya, ndani ndani huko ujue mtu huyo kapewa tu jina baya, mara nyingi huaga ni issues za kidini. Muislam kaamua kwenda Ukristo then anapewa hiyo scandal either ya dawa za kulevya au ushoga. Iran na dawa za kulevya??? Tuache tu, wa kwa Mtambani wasije nipiga mawe bure
 
Mkuu kwani tatizo liko wapi na ww kuwa punda ili uende upige hela tuone kama hicho kichwa utarudi nacho.
 
Achaneni na Stori za kutunga,Yaani kabisa Riz1 abebe sembe yeye mwenyewe?Inaweza ikawa kweli ni Supplier lakini kwa akili ya kawaida Baba wakati ule ni number 1,Yeye abebe mzigo mwenyewe kweli?
Hii story ya Riziwani ni dhana tu iliyo sambazwa na wapinzani wa Kikwete kwa maslahi ya kisiasa.
 
Lakini Iran kuna tatizo kubwa la watumiaji wengi wa madawa ya kulevya, biashara itakuwa ni miradi ya maafisa wanakula sahani moja na mapusha, hizo sheria zimewekwa kupunguza ushindani
Hata hizo nchi nilizo zitaja hapo zote zina watumiaji wengi tu wa ngada sema wanaweka sheria kama hizo ili angalau wapunguze tu.
Alafu Iran ni ngumu kudhibiti ngada hata waweke sheria gani kwa sababu ya kushea mpaka na Afghanistan na Pakistan ambayo ni nchi inayo lima ngada kwa wingi.
 
Back
Top Bottom