Simon lenana
Member
- Feb 15, 2020
- 24
- 26
Mwache mtotoLight year yenye ushoga umeipenda mkuu ?
Mwache mtotoLight year yenye ushoga umeipenda mkuu ?
Tena aombee Sana, maana yeye kaona Negative side, Sasa watoto wako waje negative ni Chanya, utaitika bila kuitwa[emoji35]Wanakuzoesha taratibu utajikuta unaona kawaida.
We uliwahi kuona wapi animationa ina mambo ya ushoga kama sio kutaka kuteka watu psychologically!
Mi nikisikia hata tetesi kuna hizo elements huwa siangalii kabisa hiyo movie.
Purple heart movie kali sanaaaGray Man
Sea beasts
Purple hearts
Kwenye game lile la Vioo kuna VIP Mmmoja alimchukua yule police akmpeleka toi kumwomba gameNimesahau ni episode ya ngapi.. ila humo kuna jamaa alimwambia mwenzake "If you satisfy me for five minutes i will change your life" huku akimwomba amnyonye uume wake ili amsaidie kutoka nje ya game salama.. na wote walikuwa ni wanaume
Now Animation zinatenGEnezwa kwa hela nyingi sanaa yan na zina story Nzuri plus vinyimboHiv watu wazma mnapata wap nguvu za kuangalia vikatuni vikatuni hvyo. Movies hapo za kiume ni The Grey Man, Uncharted, na Day Shift.
Better be allergic to movies,apa mtu akiniuliza abali za tozo ata simuelewi kabisaaaDay Shift
Man From Toronto
Carter
The Gray Man
Ambulance
The Sea Beast
Interceptor
The Bad Guys
Morbius
X
Death On The Nile
Against The Ice
Texas Chainsaw
Restless
Sonic The Hedgehog 2
Silverton Siege
Purple Heart
Elvis
Persuasion
The RoundUp
Everything Everywhere All at Once
Lucky
Nope
The Black Phone
Hustle
Prey
Bodies Bodies Bodies
Samaritan
The Lost City
Snipers
Beast
Jackass Forever
Scream
The Kashmir Files
Adam Projects
Amsterdam
Moonfall
The Witch Part 1 & The Witch Part 2
Moloch
Fresh
Moon Knight
No Exit
Redeeming Love
Hustle ni bonge la storyDay Shift
Man From Toronto
Carter
The Gray Man
Ambulance
The Sea Beast
Interceptor
The Bad Guys
Morbius
X
Death On The Nile
Against The Ice
Texas Chainsaw
Restless
Sonic The Hedgehog 2
Silverton Siege
Purple Heart
Elvis
Persuasion
The RoundUp
Everything Everywhere All at Once
Lucky
Nope
The Black Phone
Hustle
Prey
Bodies Bodies Bodies
Samaritan
The Lost City
Snipers
Beast
Jackass Forever
Scream
The Kashmir Files
Adam Projects
Amsterdam
Moonfall
The Witch Part 1 & The Witch Part 2
Moloch
Fresh
Moon Knight
No Exit
Redeeming Love
tozo utakumbuka kwenye kuweka bando upakue movieBetter be allergic to movies,apa mtu akiniuliza abali za tozo ata simuelewi kabisaaa
Hata MimiThe Batman niliiangalia mkuu ila sikuipenda kivile
Uko sahihi kwa 100%,Mimi Siku hizi naangalia zile movie za 1970's to early 2000's mkuu.Sijui ni mimi tu, lakini naona filamu za siku hizi hazina radha kama zamani.
Trailer ya VR FIGHTER IMEIZIDI MUVI NZIMA YA BLACK ADAM 😁😁😁 Mkuu kumbe duniani kuna muvi mmekaa kimya hata hatuambiani. Nazishusha hiyo na hiyo ya the odo squad asante sanaCARTER
DAYSHIFT
VR FIGHTER
THE EDO SQUAD
ILU
BULLET TRAIN
WRATH OF A MAN
ZOTE ZINAUONGO MWINGIIII ILA UCHUNGU WA NYANYA CHUNGU NDO UTAUMU WAKE
Hapo umeshaangaliaHiv watu wazma mnapata wap nguvu za kuangalia vikatuni vikatuni hvyo. Movies hapo za kiume ni The Grey Man, Uncharted, na Day Shift.