Kwa mwaka huu katika movie ambazo zimetengenezwa kwa passion ya actors na movie fans ni mbili tu.
Top Gun Maverick na The Batman, hizi ndio movie ambazo unaweza ukakaa ukaangalia na kushindwa kupredict movie itaishaje. Amazing cinematography na Soundtrack zinazogusa kila hisa hofu, wasiwasi na ujasiri.
Tom Cruise ameonyesha unyama wa kutosha kwenye Maverick zile real stunts tena anafanya mwenyewe mzee wa miaka 60 sio mchezo na acting skills zisizochuja huge respect kwa yule mzee.
Na Robert Pattinson baada ya kucheck maajabu yake kwenye Tenet basi nilitegemea hatotuangusha Batman fans na kweli amefanya unyama mule ndani kiasi cha watu wengi kuanza kumfafanisha na legend mwenyewe Christian Bale na wengine kusema ndio the best batman na best bruce wayne kuwahi kutokea. Ila ninachokisema mimi ni impressive work na kweli amefikia na kupita viwango vya master bale hivyo huge respect kwa mr pattinson.
Na kuprove hilo hata Box Office na Review zake zinasema ninachokisema juu ya hizo Masterpieces.