Hizi meseji zinatoka polisi kweli?

Hizi meseji zinatoka polisi kweli?

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,366
Reaction score
3,561
Nimekua nikipokea msg hii katika simu yangu

Mwananchi endapo utapata
simu/ujumbe wa kulipa
kodi, kutuma pesa, kushinda
droo, kutoka kwa mtu
usiemfahamu. Usikubali
kutuma bila kuhakiki

Kweli hawa ni Polis au ni airtel line yangu. Hizi message kila wiki nazipata kama dozi fulani. Waache usumbufu.
 
Hizo ni bulk SMS zinazotumwa kwa wananchi wote wanaotumia simu. Jeshi la Polisi hapo linatimiza wajibu wake wa kutoa ''Elimu kwa Umma'' ili wananchi wasilizwe….kama wewe ni omusolopagazi wa taoo wenzio ni washamba wanalizwa...sasa Polisi inawasaidia...na hizo sms sio selective ni bulk.....watu wanalizwa sana ndio sababu pia wanasajili line za simu kwa bayometria ili iwe rahisi kuwanasa wahuni
 
Ooh ok. Dah nia ni nzuri lkn dah kind of nuisance regarding the frequency with which they are sent (shikamoo malkia)
 
Kwangu zinakula kila siku msg 5 yani mpaka kero
 
Back
Top Bottom