Hizi Kesi Ziliishia Wapi?

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,570
19,447
I am just curios kwa vile kesi hizi tulisikia zikitangazwa kuwa zitafunguliwa lakini baada ya hapo naona kimya tu:

(1) Mbunge Nimrod Mkono wa Musoma Vijijini dhidi ya Dr. Slaa kwa kumwita fisadi
(2) Ridhiwani Kikwete dhidi ya Dr. Slaa na Mchungaji Mtikilia kwa kuingilia mambo ya biashara zake
(3) Mange Kimambi (Binti wa Kiislamu) wa Dubai dhidi ya mwanasheria mmoja wa IMMMA kwa kumdhalilisha.
 
Lilikuwa ni funika kombe mwanaharamu apite mkuu. Au kwa lugha ya kibongo walikuwa wanaanua soo juani.
 
hii ipo kwenye jukwaa sahihi kweli? au ni majicho yangu tu
 
Back
Top Bottom