Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
teh teh teh teh! Pooooole mzee! Hukuleta sura ya kazi hapo?Amekukuta una kazi yakoanakupachika nyingine.......aaargh
1. Upo rum mmoja na mwenzio, anaweka AC juu kupita uwezo wa mwili wako kuhimili ile baridi kali.
2. Upo rum mmoja ofisini, mwenzio wageni ni vidosho tu kwa kwenda mbele.
3. Ile unafika asbh ofisini, mood ya kuwepo ofisini haipo unatamani utoke ukazurure kidogo ndo urudi ofisini.
4. Mtu anakupa kazi ambayo siyo ya kwako, ukiharibu hiyo kazi imekula kwako
5. Mengineyo ntaongezea.......
So, yale mazoea ya kuonesha maukorofi wa primary na secondary ndo huyaleta maofisini!!? Dah kazi kweli kweli...!Watu ndo hupata mahali pa kujiachia,si unajua home muda/mazingira ya kufanya vurugu hamna.
kha! hivi maofisini kwenu kukoje??
mimi sasa hivi nimekerwa na huyu mdada tunayefanya naye kazi hapa ati, "Mentor, leo nataka nkutoe lunch..."
Na wewe kwani kukutoa Lunch ni tatizo?
Wahaya hao?uuuuhhuhuuhuhuhuhu miiii hoiii jamani na hawa mate zangu. wao kutwa wanazoza kikwao tu kelele kibaaaaao. yani mh.
uuuuhhuhuuhuhuhuhu miiii hoiii jamani na hawa mate zangu. wao kutwa wanazoza kikwao tu kelele kibaaaaao. yani mh.