Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

sasa sony tu mkuu umechachawa ukipata soundbar tu ya JBL sindo itakua balaa.. anyways hao jamaa wanajali quality sana...tofaut na haya masabufa yakichina

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mkuu before xmasi nilienda Mlimani Game store! Nikakutana na Soundbar za kampuni tofauti tofauti na Hometheatres!
One of them was JBL ukiachilia Sony na Samsung. Kimsingi sikuipenda JBL wala Sony sababu the bass was stupid ila Samsung ilinipigia mziki mzuri zaidi nikashangaa imekuwaje.
 
Nadhani hujanielewa , sijakata kuwa Jbl ni za kibabe , nilichokuwa najaribu kusema sio jbl pekee ,bali Kuna wababe wengine

Ukitaka kuprove hilo jaribu kuchunguza expensive cars zinafungwa music sytem ya bose au B&o for reasons, Jbl as music system Mara nyingi naiona inakuja kwenye gari za japan
Nimekuelewa ulisema jamaa akaiover rate jbl sana...lakin hakua ameioverate ameizumzia vzr tu kama brand makin... issue ya kua wababe wapo yes wapo ila haifany jbl kuoekana sio nzur..the rest tupo pamoja mkuu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Haha!!
Sony xb 31 ni karibu laki saba , mjini hapa na bose soundlink iii inakaribia humo humo, sennheiser s headphones ie800 s ni Dola 1000

Kiufupi kusikiliza muziki, is a very expensive hobby!

dah mkuu laki 7 hiyo si bei ya home theater kabisa !!!, ila kweli ni expensive sana , mimi napenda muziki wa kwenye gari siku nikinunua ntafunga niwe nasikiliza rhumba
 
Mkuu before xmasi nilienda Mlimani Game store! Nikakutana na Soundbar za kampuni tofauti tofauti na Hometheatres!
One of them was JBL ukiachilia Sony na Samsung. Kimsingi sikuipenda JBL wala Sony sababu the bass was stupid ila Samsung ilinipigia mziki mzuri zaidi nikashangaa imekuwaje.
Aisee...hukuchukua model no ya hyo samsung mkuu?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
dah mkuu laki 7 hiyo si bei ya home theater kabisa !!!, ila kweli ni expensive sana , mimi napenda muziki wa kwenye gari siku nikinunua ntafunga niwe nasikiliza rhumba
Mziki wa kwenye gari mzuri sababu unaunga components independently. Ndio tofauti ya integrated system na independent.

Utanunua speakers nzuri, amplifier nzuri, equalizer nzuri, nyaya nzuri na hata output huwa nzuri 😂!!! Ile Setup unaweza pia kuifanyia ndani kwako ila watu huona gharama sana kununua kitu kimoja kimoja ndio unanunua One box system.
 
Hiyo ya 5.1 ni home theatre sio soundbar unaweza kupata kuanzia 1.2 mpk 1.5m ila uende na mtaalam wasije kukuuzia mdosho (fake). Kwenye hizi kitu tafuta original. Mie nina radio Sony nilinunua nikiwa Chuo Kikuu 2002 mpk leo inadunda kwa quality ile ile nilinunua duka la Sony (enzi hizo) Posta wenzangu walinicheka wao walikuwa wamenunua laki 300,000 aina hiyo hiyo Kariakoo mie nilinunua laki tano na wale jamaa wa Sony wakaniambia zao ni orijino hizo za Kkoo ni feki. Kweli mpk leo ni miaka 18 kitu kinadunda vile vile yamekufa yale madude ya DVD tu ila radio na tape inafanya kazi na nimeongezea kifaa cha bluetooth na flash imekuwa kama za kisasa tu

Unajuaje kam sony ni og au feki?? Nipe maujuzi hapa
 
Back
Top Bottom