Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

JBL halali kwa pesa YAKO
 

Attachments

  • Screenshot_20221226_112902.jpg
    Screenshot_20221226_112902.jpg
    83.3 KB · Views: 14
Mambo vipi wadau, jumamos nilikua na ki event hapa home basi kuna jamaa angu ana HT ya sony akaileta ili isaidie kwa masuala ya mziki. Hii sony ina spika ndefu 2 na zingine fupi 3 tukatandaza sebule yote.

Before haijaja Sony nilikuwa naplay muziki kwa buffa langu seapiano, ila kwa masaa 3 tu ilikuwa imepata moto sana na spika zilianza koroma. Sasa tumeanza tumia sony kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 6 usiku lakini ngoma haijapata moto na mziki unaotoka ni hatari. Hapa nimebaki na maswali kwanini isipate hata moto kdg? Yani ya baridi na muziki tuliweka sauti mpaka mwisho.

Kwenu wataalamu nisaidieni hili, nimejikuta navutiwa na Sony.
Hapo sony tu umepatwa na nanii....sasa ungeisikiliza JBL si ndo ungekuwa una come tu muda wote....ungefikia mshindo masaa yote hayo.
 
Back
Top Bottom