Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

Bei ya Sony na JBL ni tofauti kabisa kama umeona mziki wa Sony ni mkubwa nadhani ukikutana na JBL utadata kabisa. Sony HT ukienda kununua chagua hii BDV - N9200W yenye 5.1 Ch na Watts 1200 nadhani inaanzia 1M mpk 1.5M inategemea na duka.

Ila kama unataka mziki mnene na wenye kudumu muda mrefu katika quality za juu tafuta hizi hapa ingawa bei zake zimechangamka na si rafiki na watanzania
1. JBL
2. Pioneer
3. Onkyo
4. Bose
5. Yamaha
6. Denon
7. Harman Kardon (hawa wapo Kariakoo ni kama mtoto wa JBL mziki wake usipime)

Hiyo list hapo juu ndio dunia ya mziki mkubwa kote hapo Sony anasubiri
Anatakiwa apate mzgo kama huu

techovers-20210106-0003.jpg

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
JBL inapatikana wapi? Hapa dsm
 
Hii nadhani mziki wake mpk ardhi inatikisika halafu JBL mziki wake hata ukiweka sauti ya chini bado unaingia mpk moyoni kibabe
Hiyo haifai hata kidgo mkuu....kwanza jamaa wana quality ya mzik huwez skia mweny brand za kikuda hizi...saut kama ulivyosema weka hata 5 tu ila mziki mtamu vile vile...sasa kwenye movie ndio inaunguruma kama upo theatre

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Kuna hii bluetooth speaker ya Harman Kardon nilinunua Kariakoo barabara ya uhuru opposite na Petrol Station nadhani ya Total bei 750,000/=. Hiyo kitu inadunda jamani acheni kabisa. Niliwahi kufanya kasherehe bubu nyumbani wananchi hawakuamini mziki uliotoka hapo. Kuliko Home Theatre ya Sony bora uchukue hako kadubwasha
 
Attachments

  • Harman Kardon.jpg
    Harman Kardon.jpg
    21.7 KB · Views: 28
Kuna hii bluetooth speaker ya Harman Kardon nilinunua Kariakoo barabara ya uhuru opposite na Petrol Station nadhani ya Total bei 750,000/=. Hiyo kitu inadunda jamani acheni kabisa. Niliwahi kufanya kasherehe bubu nyumbani wananchi hawakuamini mziki uliotoka hapo. Kuliko Home Theatre ya Sony bora uchukue hako kadubwasha

Eti kadubashwa , mkuu weka picha tukaone
 
Kuna hii bluetooth speaker ya Harman Kardon nilinunua Kariakoo barabara ya uhuru opposite na Petrol Station nadhani ya Total bei 750,000/=. Hiyo kitu inadunda jamani acheni kabisa. Niliwahi kufanya kasherehe bubu nyumbani wananchi hawakuamini mziki uliotoka hapo. Kuliko Home Theatre ya Sony bora uchukue hako kadubwasha
Hao Herman kardon ni familia moja na jbl...hawafai nuksi sana..kidude kidgooo ziki hiloooo

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Mfano hyo soundbar ya 5.1 bongo wnauza 1.6 unaeza ongea ukashushiwa kidogo...u wont regrets..kuliko kununua kisabufa cha seapeano unajipinda hata mwaka mzm unakamata hyo JBL

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hiyo ya 5.1 ni home theatre sio soundbar unaweza kupata kuanzia 1.2 mpk 1.5m ila uende na mtaalam wasije kukuuzia mdosho (fake). Kwenye hizi kitu tafuta original. Mie nina radio Sony nilinunua nikiwa Chuo Kikuu 2002 mpk leo inadunda kwa quality ile ile nilinunua duka la Sony (enzi hizo) Posta wenzangu walinicheka wao walikuwa wamenunua laki 300,000 aina hiyo hiyo Kariakoo mie nilinunua laki tano na wale jamaa wa Sony wakaniambia zao ni orijino hizo za Kkoo ni feki. Kweli mpk leo ni miaka 18 kitu kinadunda vile vile yamekufa yale madude ya DVD tu ila radio na tape inafanya kazi na nimeongezea kifaa cha bluetooth na flash imekuwa kama za kisasa tu
 
Bei ya Sony na JBL ni tofauti kabisa kama umeona mziki wa Sony ni mkubwa nadhani ukikutana na JBL utadata kabisa. Sony HT ukienda kununua chagua hii BDV - N9200W yenye 5.1 Ch na Watts 1200 nadhani inaanzia 1M mpk 1.5M inategemea na duka.

Ila kama unataka mziki mnene na wenye kudumu muda mrefu katika quality za juu tafuta hizi hapa ingawa bei zake zimechangamka na si rafiki na watanzania
1. JBL
2. Pioneer
3. Onkyo
4. Bose
5. Yamaha
6. Denon
7. Harman Kardon (hawa wapo Kariakoo ni kama mtoto wa JBL mziki wake usipime)

Hiyo list hapo juu ndio dunia ya mziki mkubwa kote hapo Sony anasubiri
Jbl ni nzuri Ila umei overate sana mkuu
Afadhali hata ungeniambia bose na harman kardon Hk au Bang and olufsen BO

Sony anatengeneza muziki mzuri kwa Bei nafuu , Kama unavyoona magari ya japan( toyota nissan n.k) yalivyo ukilinganisha na magari ya ulaya (benz ,bmw n.k)
Niliona home theatre ya Bo ilikuwa ni Dola 14000, na haikuwa top of the range.
Jbl ni nzuri sikatai Ila sio kam ulivyo ipamba
 
Hiyo ya 5.1 ni home theatre sio soundbar unaweza kupata kuanzia 1.2 mpk 1.5m ila uende na mtaalam wasije kukuuzia mdosho (fake). Kwenye hizi kitu tafuta original. Mie nina radio Sony nilinunua nikiwa Chuo Kikuu 2002 mpk leo inadunda kwa quality ile ile nilinunua duka la Sony (enzi hizo) Posta wenzangu walinicheka wao walikuwa wamenunua laki 300,000 aina hiyo hiyo Kariakoo mie nilinunua laki tano na wale jamaa wa Sony wakaniambia zao ni orijino hizo za Kkoo ni feki. Kweli mpk leo ni miaka 18 kitu kinadunda vile vile yamekufa yale madude ya DVD tu ila radio na tape inafanya kazi na nimeongezea kifaa cha bluetooth na flash imekuwa kama za kisasa tu
Yes mkuu ila hao techover wao wanauza mizigo OG hata brand zao zote wanazouza ni zakishua...

Kusema ukwel ukiwa na hela utaenjoy sana mzik mzur

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Jbl ni nzuri Ila umei overate sana mkuu
Afadhali hata ungeniambia bose na harman kardon Hk au Bang and olufsen BO

Sony anatengeneza muziki mzuri kwa Bei nafuu , Kama unavyoona magari ya japan( toyota nissan n.k) yalivyo ukilinganisha na magari ya ulaya (benz ,bmw n.k)
Niliona home theatre ya Bo ilikuwa ni Dola 14000, na haikuwa top of the range.
Jbl ni nzuri sikatai Ila sio kam ulivyo ipamba
May be nimeipamba sana ila JBL ni zaidi sana kwa Sony. Hizo brand ulizotaja sasa ndio miziki minene mie nilitaja michache tu ambayo inafahamika Bongo.

Nina radio moja Panasonic nilinunua Germany (speaker mbili) ndogo ila nayo ni original na ina FM na sehemu ya tape. Ile radio ukiweka FM kuna sehemu imeandikwa stereo. Kama hiyo radio ni stereo inawaka taa. Enzi hizo radio one tu ndio taa ya stereo ilikuwa inawaka na mziki ulikuwa unatoka mzuri wa kusuuza roho. Siku hizo FM kibao ila hamna hata moja taa ya stereo inawaka mpk hao radio one wenyewe
 
Mkuu sitaki kuamini hako kadubwasha ndo unakaamini kwa muziki mzito
Nimetoa mfano tu wa kadude kadogo chenye mziki mkubwa. Mie napenda sana mziki na brand nayozimia ni Onkyo ambayo uwa nanunua Nairobi na pia nina Sound Bar za Sony kwenye TVs. Hicho kidubwasha nimekiweka kwa kuwa kanapatikana Bongo na unaweza ukatembea nacho popote. Kama umewahi kukatumia nadhani utanielewa.

Pia kwenye gari nimefunga speaker za JBL na nyingine Pioneer na zote nimezifuata Zenji mitumbani. Kwenye sekta ya muziki sitakagi masihala nina vyote navyopenda kuanzia speakers zenye majina na zisizo na majina
 
Back
Top Bottom