Hizi Home theatre zinatengenezwa kwa teknolojia gani?

Mkuu hiyo sea piano unayotumia ni toleo gan maana hapa geto Nina lile la 1002 ya kitambo kabisa wana wanapigia sana party za bday halijawah pata Moto wala kukoroma
NB: nimetetea Sea piano tu jaman sijalinganisha ubora

Seapiano nilinunua hili toleo jipya spika mbili ndefu, nilitumia wiki tu bodi yake inaanza kukoroma nikaamua kuuza nikavuta Soundbar ya Samsung. Nakul burudani roho inatulia.
 
Nimechek bei zake haitofautiani na sony
Bei ya Sony na JBL ni tofauti kabisa kama umeona mziki wa Sony ni mkubwa nadhani ukikutana na JBL utadata kabisa. Sony HT ukienda kununua chagua hii BDV - N9200W yenye 5.1 Ch na Watts 1200 nadhani inaanzia 1M mpk 1.5M inategemea na duka.

Ila kama unataka mziki mnene na wenye kudumu muda mrefu katika quality za juu tafuta hizi hapa ingawa bei zake zimechangamka na si rafiki na watanzania
1. JBL
2. Pioneer
3. Onkyo
4. Bose
5. Yamaha
6. Denon
7. Harman Kardon (hawa wapo Kariakoo ni kama mtoto wa JBL mziki wake usipime)

Hiyo list hapo juu ndio dunia ya mziki mkubwa kote hapo Sony anasubiri
 
Back
Top Bottom