42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Hakuna simu inaitwa Xiaomi Mi 12S Ultra bali inaitwa Xiaomi 12S Ultra
Upo sahihi japo mwanzo ulikuwa wrong ulipoandika xiaomi 12 ultra.
Hakuna simu inaitwa Xiaomi Mi 12S Ultra bali inaitwa Xiaomi 12S Ultra
Upo sahihi japo mwanzo ulikuwa wrong ulipoandika xiaomi 12 ultra.
S22 inatumia saa 1 na dk 3 kujaa.Sawa ina 25W charger ila inachaji kwa 2hrs,
Halafu kuhusu 3700 battery we ulisikia wapi mkuuView attachment 2338251
25w kwa 2hrs haiwezekaniSawa ina 25W charger ila inachaji kwa 2hrs,
Halafu kuhusu 3700 battery we ulisikia wapi mkuuView attachment 2338251
Ukiongelea fast charging saizi,basi 25W ni kibua tu,simu za kawaida kama redmi note 10 ,11 hizo zinakuja na 33W na ni simu za mid-range tu25w Samsung s22 afu unasema inachaji taratibu[emoji16] battery ya 3700 hio data umetoa wapi
Nimekuelewa mkuuS22 inatumia saa 1 na dk 3 kujaa.
Kwa dakika 30 inajaza asilimia 63.
Hicho ulichoweka hapo wewe ni solution ya mtu ambaye simu yake haijai haraka na sio muda wa kuchaji s22.
![]()
Samsung Galaxy S22 review
Samsung is unquestionably the leader in the mobile display space. Its OLED panels are second to none, and the Korean giant is far from complacent in its...m.gsmarena.com
Samsung Galaxy S22 Ultra ina 5000mAh, sio 3700mAh mkuu25w kwa 2hrs haiwezekani
10w charger ndo inajaza 4000mah kwa masaa mawili .how come 25w ijaze 3700mah kwa masaa mawili?afu kingereza sio lugha yako hip result ya Google am sure hujailewa
Anywhere kwanzia 15w that's a fast chargingUkiongelea fast charging saizi,basi 25W ni kibua tu,simu za kawaida kama redmi note 10 ,11 hizo zinakuja na 33W na ni simu za mid-range tu
Mi 11 T pro inakuja na 120W
Kinajojalisha mkuu ni kwa muda gani inajaza simu. Mfano s22 ultra kwa 25W inafika asilimia 61 kwa nusu saa.Ukiongelea fast charging saizi,basi 25W ni kibua tu,simu za kawaida kama redmi note 10 ,11 hizo zinakuja na 33W na ni simu za mid-range tu
Mi 11 T pro inakuja na 120W
Huyu 10T na ndg yake 10pro walifeli Zachy durability test.Hizo simu za kichina za $1000+ not worth it mkuu,
Mfano Xiaomi za bei bado zinatumia USB 2.0 standard ya mwaka 2000 (miaka zaidi ya 20 iliopita) wakati simu za kisasa toka Samsung utakuta USB 3.2 ya sasa hivi na makorokoro kibao kama Dex.
Wengine siku hizi ni full maplastic hata kuweka frame za Alluminium hawaweki (op 10T).
Mchina sifa yake mwizi tu mkuuHivi mkuu unaamini kabisa hizi accusations za US??
Hawa hawa US walikamatwa wakidukua viongozi wa Germany? ...
Hamna uthibitisho wowote wamewahi kutoa dhidi ya Huawei.
Bila huawei hapo hamna kitu, list irudiwe
Ndio mkuu 10T ina plastic Frame simu ya bei kabisa, wakati kuna simu hadi za laki 3 zina Alluminium frame.Huyu 10T na ndg yake 10pro walifeli Zachy durability test.
Hata mi nimeshangaaAisee, yani kumbe siku hizi Oppo anamzidi Xiaomi?[emoji23]
Halafu eti Xiaomi 12 Pro imo kwenye list ila Xiaomi 12 Ultra haipo?[emoji23]
Halafu Google Pixel 6A imeshika nafasi ya juu kumshinda mzazi wake Google Pixel 6 Pro?[emoji23]
This is just a rubbish list from someone who is not a smartphone enthusiast at all.