Hizi hapa ndio simu 10 bora zaidi duniani 2022

Hizi hapa ndio simu 10 bora zaidi duniani 2022

ingekuwa ni ishu ya soko china kupitia huawei angekubali sharti alilopewa,aache kuweka chip zenye kurekodi siri za watu.lakini alikaza,jamaa akabonyeza block.

ishu ya huawei ilikuwa ya kiusalama zaidi,maana nova ni huawei b bado anavimba tu mitaa ya google.
Hivi mkuu unaamini kabisa hizi accusations za US??

Hawa hawa US walikamatwa wakidukua viongozi wa Germany? ...
Hamna uthibitisho wowote wamewahi kutoa dhidi ya Huawei.
 
Trump alipokuwa madarakani aliwashiana moto na Taifa la China kisa ilikuwa ni simu za Huawei kuonekana zina ubora wa juu kiasi cha kutishia soko la iPhone,,, akawatuhumu wana copy teknolojia ya iPhone

Na kiukweli Huawei ni very very challenging brand ktk soko la dunia kutokana na ubora wake ktk angle mbalimbali

Sasa nashangaa mleta mada unaleta list ya simu bora unaziweka GooglePixel na kina Xiaomi alafu Mnyama the international Superbrand HUAWEI hayupo,,,, list ni fekero imejaa watumishi hewa [emoji3]
Mkuu Huawei ana simu gani ya kuifikia Xiaomi 12S Ultra, au hata Xiaomi 12pro[emoji848][emoji848]
 
Kwa mnaotumia iphone hivi vioo vya iphone 11 na 13 ni kwanini vinakua na mistari kqa mbali kama pixels hivi yani ukiangalia kwa umakini unaona kama vibox box(pixel) na hazipo clear kama za samsung, au simu zingine ?
Iphone ambazo sio pro max vioo vyake vingi vina resolution ndogo.
Iphone 11 ni 828x1792 (326 ppi)
Iphone 11 pro max ni 1242x2688 (454 ppi)
Hivyo unaona hapo iphone 11 hata 1080p haijafika resolution ambayo ipo mpaka simu za laki 3.

Iphone 13 ni 1170x2532 (460 ppi)
Iphone 13 pro max ni 1284x2778 (458 ppi).
Iphone 13 lakini kioo chake hakipo pixelated sana, kinacompete na 13 pro max.

Samsung yeye hasa kwenye ultra anatumia Quad HD.
S22 ultra ni 1440x3088 (500 ppi).

Pia kioo kinaweza kuwa pixelated ukiweka low quality graphics, vitu kama walpaper, icons za app, UI etc vikiwa na resolution ndogo hata kama kioo cha simu ni kizuri kitaonekana pixelated.
 
Bei zinaendana na specs mkuu..
Hizo simu za kichina za $1000+ not worth it mkuu,

Mfano Xiaomi za bei bado zinatumia USB 2.0 standard ya mwaka 2000 (miaka zaidi ya 20 iliopita) wakati simu za kisasa toka Samsung utakuta USB 3.2 ya sasa hivi na makorokoro kibao kama Dex.

Wengine siku hizi ni full maplastic hata kuweka frame za Alluminium hawaweki (op 10T).
 
Aisee, yani kumbe siku hizi Oppo anamzidi Xiaomi?😂

Halafu eti Xiaomi 12 Pro imo kwenye list ila Xiaomi 12 Ultra haipo?😂

Halafu Google Pixel 6A imeshika nafasi ya juu kumshinda mzazi wake Google Pixel 6 Pro?😂

This is just a rubbish list from someone who is not a smartphone enthusiast at all.
Sure you nailed it bro
 
Iphone ambazo sio pro max vioo vyake vingi vina resolution ndogo.
Iphone 11 ni 828x1792 (326 ppi)
Iphone 11 pro max ni 1242x2688 (454 ppi)
Hivyo unaona hapo iphone 11 hata 1080p haijafika resolution ambayo ipo mpaka simu za laki 3.

Iphone 13 ni 1170x2532 (460 ppi)
Iphone 13 pro max ni 1284x2778 (458 ppi).
Iphone 13 lakini kioo chake hakipo pixelated sana, kinacompete na 13 pro max.

Samsung yeye hasa kwenye ultra anatumia Quad HD.
S22 ultra ni 1440x3088 (500 ppi).

Pia kioo kinaweza kuwa pixelated ukiweka low quality graphics, vitu kama walpaper, icons za app, UI etc vikiwa na resolution ndogo hata kama kioo cha simu ni kizuri kitaonekana pixelated.
Mimi kwangu binafsi hua sivielewagi kabisa vioo vyao sema ukianza kumwambia mtumiaji iphone hayo mambo mtabishana kweli...
 
Kutoka kwa page ya Tech Advisor hizi ndio simu bora zaidi kwa mwaka 2022
1. iPhone 13 pro (iPhone bora zaidi) $999 at Amazon
View attachment 2326602
PROS
Ina display yenye 120Hz refresh rate
Ina kamera kali sana
Ina uwezo wa hali ya juu
Inatunza cchaji vizuri
CONS
Cinematography Mode na HDR algorithm zinapaswa kufanyiwa kazi
Ina bei ghali sana

2. Samsung Galaxy S22 Ultra (Simu bora zaidi inayotumia Android OS) $1015.87 at Amazon
View attachment 2326612
PROS
Ina kamera kali sana
Display yake ina ubora wa hali ya juu
Design yake inavutia sana
CONS
Ni nene, nzito na kubwa sana
Ina bei ghali
Inachaji taratibu
3. iPhone 13 (Ipo vizuri kwenye sekta nyingi) $829 at Apple
View attachment 2326620
PROS
Ina uwezo mkubwa sana
Kamera yake ni kali
Inatunza chaji
Ina thamani kubwa
CONS
Ina display yenye 60Hz refresh rate
Haina telephoto camera
Inachaji taratibu
4.Google Pixel 6A $449 at Amazon
View attachment 2326625
PROS
Ina uwezo mkubwa sana
Inatunza chaji
Ina kamera nzuri
CONS
Ina display yenye 60Hz refresh rate
Inachaji taratibu
Plastiki yake ya nyuma inakwaruzika kirahisi
5. Google Pixel 6 pro (Best user experience)
View attachment 2326629
PROS
Ina display yenye 120Hz refresh rate
Ina kamera kali sana
Ina software nzuri sana
Inatunza chaji
CONS
Ndio simu ya Google Pixel kubwa, nene na nzito zaidi
Fast charging yake ni ya ovyo
6. Opo Find X5 Pro (Kamera bomba sana)
View attachment 2326639
PROS
Ina display ya high quality
Ina kamera kali
Ina muundo wa kipekee
CONS
Haina perioscopic zoom
Ina bei ghali
7. OnePlus 10 Pro (Inatunza chaji balaa) $779 at Amazon
View attachment 2326692
PROS
Ina chaji kwa haraka sana kwa kutumia way a wake wa 80W
Inadumu kwa muda mrefu
Ina specifications kubwa
CONS
Kamera yake haiwezi kubalance ubora wa picha vizuri
Haina IP Rating
8. Vivo X80 Pro $969 at AliExpress
View attachment 2326717
PROS
Kamera yake ina uwezo mkubwa sana wa kuchukua picha
Inachaji fasta iwe kwa waya au wireless
Inatunza chaji
CONS
Muundo wake wa kamera ni m'baya
Haina Gorilla glass
Software yake sio nzuri sana
9. Samsung Galaxy Z Flip 3 (Ndio simu bora zaidi ambayo ni foldable)
View attachment 2326722
PROS
Ina muundo wa kifahari wa kujikunja
Ni water resistant
Ina bei ya kawaida
CONS
Haina telephoto camera
Ukaaji wake wa chaji sio mzuri sana
Sio ngumu, ingependeza kama ingekuwa ngumu zaidi
10. Xiaomi 12 Pro (Great for Multimedia)
View attachment 2326726
PROS
Ina muundo mzuri sana
Ina display yenye ubora wa hali ya juu
Ina kamera kali sana... ni moto[emoji95][emoji95] wa kuotea mbali
Ina fast 120W charger
CONS
Haitunzi chaji ipasavyo
Haina IP Rating

Ndio hizo hapo wa kuu. Tena kuna hio brand no 10 yaani XIAOMI hii kampuni inakua kwa kasi sana.. Nina imani ipo siku watatoa world's best phone... Au nyie mnaonaje wakuu?
uzi mbona umekaa ki-baba Ukraine, HUAWEI Mnyama hayupo???
 
25w Samsung s22 afu unasema inachaji taratibu😁 battery ya 3700 hio data umetoa wapi
 
Wewe unazingatia uwezo wa simu tu mkuu, hapo wamezingatia mambo mengi ikiwemo uwiano wa simu na bei yake, ingekuwa ni suala la uwezo tu basi ingeanza Samsung galaxy s22 Ultra, na pia Google Pixel 6A isingeipita Google Pixel 6.
Kuna simu nyingine ni nzuri sana ila bei zake ni ghali sana kuliko uzuri wake mfano Sony Xperia 1 IV ndio maana haipo hapo. Hata hivyo ukiiangalia LIST imeanza iPhone 13 pro na sio iPhone 13 pro Max... unajua ni kwa nini.. ni kwa sababu hawajawekea suala la uwezo kipaumbele sana... Wameangalia mambo mengi.
Halafu hiyo list sio yangu, nimeitoa kwenye website kubwa tu ambayo inaitwa TechAdvisor, wamekaa chini wakafanya utafiti kwa viwango vyao wakatengeneza hiyo LIST. Umeelewa mkuu??
Kisa ni ya kizungu ndo ukaileta huku

Haina tofauti na Ile makala inayosema kampuni ya infinix yaichakaza tecno vikali
 
Kutoka kwa page ya Tech Advisor hizi ndio simu bora zaidi kwa mwaka 2022
1. iPhone 13 pro (iPhone bora zaidi) $999 at Amazon
View attachment 2326602
PROS
Ina display yenye 120Hz refresh rate
Ina kamera kali sana
Ina uwezo wa hali ya juu
Inatunza cchaji vizuri
CONS
Cinematography Mode na HDR algorithm zinapaswa kufanyiwa kazi
Ina bei ghali sana

2. Samsung Galaxy S22 Ultra (Simu bora zaidi inayotumia Android OS) $1015.87 at Amazon
View attachment 2326612
PROS
Ina kamera kali sana
Display yake ina ubora wa hali ya juu
Design yake inavutia sana
CONS
Ni nene, nzito na kubwa sana
Ina bei ghali
Inachaji taratibu
3. iPhone 13 (Ipo vizuri kwenye sekta nyingi) $829 at Apple
View attachment 2326620
PROS
Ina uwezo mkubwa sana
Kamera yake ni kali
Inatunza chaji
Ina thamani kubwa
CONS
Ina display yenye 60Hz refresh rate
Haina telephoto camera
Inachaji taratibu
4.Google Pixel 6A $449 at Amazon
View attachment 2326625
PROS
Ina uwezo mkubwa sana
Inatunza chaji
Ina kamera nzuri
CONS
Ina display yenye 60Hz refresh rate
Inachaji taratibu
Plastiki yake ya nyuma inakwaruzika kirahisi
5. Google Pixel 6 pro (Best user experience)
View attachment 2326629
PROS
Ina display yenye 120Hz refresh rate
Ina kamera kali sana
Ina software nzuri sana
Inatunza chaji
CONS
Ndio simu ya Google Pixel kubwa, nene na nzito zaidi
Fast charging yake ni ya ovyo
6. Opo Find X5 Pro (Kamera bomba sana)
View attachment 2326639
PROS
Ina display ya high quality
Ina kamera kali
Ina muundo wa kipekee
CONS
Haina perioscopic zoom
Ina bei ghali
7. OnePlus 10 Pro (Inatunza chaji balaa) $779 at Amazon
View attachment 2326692
PROS
Ina chaji kwa haraka sana kwa kutumia way a wake wa 80W
Inadumu kwa muda mrefu
Ina specifications kubwa
CONS
Kamera yake haiwezi kubalance ubora wa picha vizuri
Haina IP Rating
8. Vivo X80 Pro $969 at AliExpress
View attachment 2326717
PROS
Kamera yake ina uwezo mkubwa sana wa kuchukua picha
Inachaji fasta iwe kwa waya au wireless
Inatunza chaji
CONS
Muundo wake wa kamera ni m'baya
Haina Gorilla glass
Software yake sio nzuri sana
9. Samsung Galaxy Z Flip 3 (Ndio simu bora zaidi ambayo ni foldable)
View attachment 2326722
PROS
Ina muundo wa kifahari wa kujikunja
Ni water resistant
Ina bei ya kawaida
CONS
Haina telephoto camera
Ukaaji wake wa chaji sio mzuri sana
Sio ngumu, ingependeza kama ingekuwa ngumu zaidi
10. Xiaomi 12 Pro (Great for Multimedia)
View attachment 2326726
PROS
Ina muundo mzuri sana
Ina display yenye ubora wa hali ya juu
Ina kamera kali sana... ni moto[emoji95][emoji95] wa kuotea mbali
Ina fast 120W charger
CONS
Haitunzi chaji ipasavyo
Haina IP Rating

Ndio hizo hapo wa kuu. Tena kuna hio brand no 10 yaani XIAOMI hii kampuni inakua kwa kasi sana.. Nina imani ipo siku watatoa world's best phone... Au nyie mnaonaje wakuu?
Toa hayo matakataka yote niwekee Realme X80 Pro+ na Xiaomi 12s Ultra.
 
Aisee, yani kumbe siku hizi Oppo anamzidi Xiaomi?[emoji23]

Halafu eti Xiaomi 12 Pro imo kwenye list ila Xiaomi 12 Ultra haipo?[emoji23]

Halafu Google Pixel 6A imeshika nafasi ya juu kumshinda mzazi wake Google Pixel 6 Pro?[emoji23]

This is just a rubbish list from someone who is not a smartphone enthusiast at all.
Hakuna Simu inaitwa Xiaomi 12 Ultra ila inaitwa Xiaomi mi 12s Ultra.
 
Mimi kwangu binafsi hua sivielewagi kabisa vioo vyao sema ukianza kumwambia mtumiaji iphone hayo mambo mtabishana kweli...
Wamiliki wa iphone wanahubiri quality wakati quality ya vioo vya simu zao ni takataka.

Sijui hata kama wanafahamu feeling ya kuwatch content kwa kioo cha QHD resolution.

Vioo vingi vya Iphone haivuki FHD
 
😀😀😀 wanapigwa
 
Kutoka kwa page ya Tech Advisor hizi ndio simu bora zaidi kwa mwaka 2022
1. iPhone 13 pro (iPhone bora zaidi) $999 at Amazon
View attachment 2326602
PROS
Ina display yenye 120Hz refresh rate
Ina kamera kali sana
Ina uwezo wa hali ya juu
Inatunza cchaji vizuri
CONS
Cinematography Mode na HDR algorithm zinapaswa kufanyiwa kazi
Ina bei ghali sana

2. Samsung Galaxy S22 Ultra (Simu bora zaidi inayotumia Android OS) $1015.87 at Amazon
View attachment 2326612
PROS
Ina kamera kali sana
Display yake ina ubora wa hali ya juu
Design yake inavutia sana
CONS
Ni nene, nzito na kubwa sana
Ina bei ghali
Inachaji taratibu
3. iPhone 13 (Ipo vizuri kwenye sekta nyingi) $829 at Apple
View attachment 2326620
PROS
Ina uwezo mkubwa sana
Kamera yake ni kali
Inatunza chaji
Ina thamani kubwa
CONS
Ina display yenye 60Hz refresh rate
Haina telephoto camera
Inachaji taratibu
4.Google Pixel 6A $449 at Amazon
View attachment 2326625
PROS
Ina uwezo mkubwa sana
Inatunza chaji
Ina kamera nzuri
CONS
Ina display yenye 60Hz refresh rate
Inachaji taratibu
Plastiki yake ya nyuma inakwaruzika kirahisi
5. Google Pixel 6 pro (Best user experience)
View attachment 2326629
PROS
Ina display yenye 120Hz refresh rate
Ina kamera kali sana
Ina software nzuri sana
Inatunza chaji
CONS
Ndio simu ya Google Pixel kubwa, nene na nzito zaidi
Fast charging yake ni ya ovyo
6. Opo Find X5 Pro (Kamera bomba sana)
View attachment 2326639
PROS
Ina display ya high quality
Ina kamera kali
Ina muundo wa kipekee
CONS
Haina perioscopic zoom
Ina bei ghali
7. OnePlus 10 Pro (Inatunza chaji balaa) $779 at Amazon
View attachment 2326692
PROS
Ina chaji kwa haraka sana kwa kutumia way a wake wa 80W
Inadumu kwa muda mrefu
Ina specifications kubwa
CONS
Kamera yake haiwezi kubalance ubora wa picha vizuri
Haina IP Rating
8. Vivo X80 Pro $969 at AliExpress
View attachment 2326717
PROS
Kamera yake ina uwezo mkubwa sana wa kuchukua picha
Inachaji fasta iwe kwa waya au wireless
Inatunza chaji
CONS
Muundo wake wa kamera ni m'baya
Haina Gorilla glass
Software yake sio nzuri sana
9. Samsung Galaxy Z Flip 3 (Ndio simu bora zaidi ambayo ni foldable)
View attachment 2326722
PROS
Ina muundo wa kifahari wa kujikunja
Ni water resistant
Ina bei ya kawaida
CONS
Haina telephoto camera
Ukaaji wake wa chaji sio mzuri sana
Sio ngumu, ingependeza kama ingekuwa ngumu zaidi
10. Xiaomi 12 Pro (Great for Multimedia)
View attachment 2326726
PROS
Ina muundo mzuri sana
Ina display yenye ubora wa hali ya juu
Ina kamera kali sana... ni moto[emoji95][emoji95] wa kuotea mbali
Ina fast 120W charger
CONS
Haitunzi chaji ipasavyo
Haina IP Rating

Ndio hizo hapo wa kuu. Tena kuna hio brand no 10 yaani XIAOMI hii kampuni inakua kwa kasi sana.. Nina imani ipo siku watatoa world's best phone... Au nyie mnaonaje wakuu?
Nitakuja nikiwa na Budget,, Ngoja niwekee Bluetick
 
Wamiliki wa iphone wanahubiri quality wakati quality ya vioo vya simu zao ni takataka.

Sijui hata kama wanafahamu feeling ya kuwatch content kwa kioo cha QHD resolution.

Vioo vingi vya Iphone haivuki FHD
Wengi hawafahamu kabisa...aisee
 
Back
Top Bottom