FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,069
- 40,732
Kuna nyuzi nililetaga humu miaka ya nyuma nikishauri "Trafiki wafungiwe mashine za EFD", mods wakafuta, labda walihisi ni wazo la kishenzi, haikupita mwaka tukaanza kuona EFD zikitumika kupiga faini badala ya notification za barabarani, nadhani kuna haja ya kuweka viwango elekezi vya elimu vya mtu kuajiriwa juwa mod.Mwaka jana niliandika uzi humu nikishaur ndege za rais zitumike kibiashara kama hazitumiki. Maana magufuli hatumii hizi ndege. Ila moods wakafuta. Waliona sijui ni wazo la kishenzi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mbili tu sio nyingi, vumiliaTunatapatapa, hivi bado ndege ngapi kuwasili? Maana tumechoka na hotuba za kupokea ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Akifanya hayo unayosema hata haya makubwa hataweza kuyafanya kwa sababu beberu atatumia uhuru wa siasa, bunge live na katiba mpya kutu-sabotage!Ila Magufuli pamoja na mapungufu yake lakini anapiga mzigo. Hakuna aliyetegemea ndani ya miaka mitatu kufanya haya. Sasa atoe uhuru wa siasa, bunge live na katiba mpya amalize kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri hazibebi watu wengi hivyo hata kuwahamishia kwenye vipanga boi na dreamliner ni rahisiSiku viongozi wakizihitaji, safari ya abiria inafutwa ghafla?
Cc GENTAMYCINEMaamuzi mazuri
Ratiba lazima itagomba sana. Hata ya watu kukalishwa Airport saa nyingi na inapoteza maana nzima ya kupanda ndege kuokoa muda.Uzuri hazibebi watu wengi hivyo hata kuwahamishia kwenye vipanga boi na dreamliner ni rahisi
Hahahaaaa, sasa kila mmoja akipaka rangi mwishowe mtapaka mpaka vioo vya rubani.Ewaaa....hii ndio nnayo itafuta. Ikiwezekane hata rangi waturuhusu tuipake wenyewe ili tuanze nayo misele.
Wanabaki na mojatu.Siku viongozi wakizihitaji, safari ya abiria inafutwa ghafla?
Ama kweli WATZ tunashida kichwani siyo bure.Tunatapatapa, hivi bado ndege ngapi kuwasili? Maana tumechoka na hotuba za kupokea ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
yes nakubaliana na wewe kabisa bila ya foundations za waliomtangulia isingekuwa kituNafikiri ni suala la vipa umbele tu. Wale wengine baada ya Mwinyi sidhani kama wangeshindwa.
Pia waliogopa kudumaza uchumi wa ndani. Kuna foundation waliiweka pia iliyopelekea kuweza kutimiza malengo ya sasa. Mfano mkapa kuanzisha TRA, ndio inamuwezesha JPM atimize ya kwake. JK na barabara, nakifiri kwa kipindi chake asinge eleweka kama angekimbilia ndege.
Hahahaaaa kumbe kuna watu walikula nyasi mimi nilikuwa bado kidogo.Ile iliyotulisha nyasi? Hahahaha
Hakuna dreamliner 737, ni 787 mkuuNa bado kuna Bombardier Q400 inakuja mwisho wa mwaka huu, na kuna Dreamliner 737 inakuja tena mwanzoni mwa mwakani
nadhani kuna haja ya kuweka viwango elekezi vya elimu vya mtu kuajiriwa kuwa mod.
Pelek hizi kitu Songea na Mtwara haraka Mkuu....unachelewa sana...endelea kusikiliza watu wanasema nini,Mwisho tutakuzomea hujafanya kitu,Fanya Businesses analysis, kama inalipa oeleka Songea Mtwara ikalete Pesa....Endelea kusikiliza Wapinzani wako kwenye hili kama utafika.,..Hizi ndio ndege za Rais kama ulikuwa huzijui, Rais Magufuli kasema zipakwe rangiView attachment 992019View attachment 992019View attachment 992020View attachment 992020
Na sasa hivi tunakula nyasi ndege zinunuliwe ama?Ilikuwa hatari utakula nyasi lakini ndege inunuliwe
Kumbe ndio yenyewe,ala basi sawa.Jamani naona watu mnaulizia ile tuliyoambiwa tutakula nyasi ila lazima inunuliwe, siyo moja ya hizo,
Yenyewe ni Gulfstream G550
Usajili wake ni 5H-ONE
Picha yake
View attachment 992064