Hizi hapa aina za Embe na Sifa zake

Mkuu weka picha halafu wengi tunapendelea mbegu fupi zile! Weka na bei.
Hakuna miembe ya mbegu fupi mzee...!

What happens ni kwamba, kwa sababu ile miti imefanyiwa grafting then huanza kuzaa ikiwa midogo lakini kadiri miti inavyokuwa ndivyo inavyokuwa mikubwa. Huwa mikubwa sana mpaka ukashangaa ukionyeshwa.

Wakulima wa embe wanachofanya ni kuipunguza ile miti periodically(pruning) kwa sababu ikiwa mikubwa sana zoezi la kuvuna na kuweka dawa huwa ni gumu...hayo mazoea kuiona midogo midogo ndiyo yanafanya watu wadhani ile miembe haikui...!
 
kila aina ya tunda? una Persmon? Mangosteen? Plumus? Star fruit? Blue berries? Richees? Grapes fruits? Fig?

Duniani kuna aina zaidi ya 50,000 za matunda hivyo acha kusema kwamba umeotesha aina zote za matunda.
Elewa context mzee...he probably meant the most common fruit trees kwa ukanda huu...embe, pera, stafeli, chungwa, avocado etc...
 
Ni mbegu ipi itafanya vizuri mikoayenye baridi mfano jombe, Iringa ?
 
ni criteria gani umetumia kutambua sijui chochote, karibu saana kwangu uone, wengine hatuandiki hapa kufurahisha watu, au kufurahisha jukwaa...tunajaribu ku share knowledge as i practice.hayo uliyoyataja kwako wewe ndio yaelekea unayajua ninayo matunda ambayo huyajui na mengine i am sure hutakaa uyaonje kwani you cannot find them anywhere

Kila la kheri
Are you a fruits farmer mzee au hobby tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom