kwa CRDB nimeona dead line ni tar 11 march (sina uhakika na tarehe lakini ni mwezi march) na km ifika hy tarehe ambao hawajajaza fomu hawapati huduma zozote za kibenki. nlikutana na mtu benk tukawa tunaulizana kwa nini utaratibu huu tena ghafla. akanambia kuna hela nyingi sana zimepotea benk,nadhan ndo wanajaribu kufatilia. kwa sbb fomu mpya (kwa crdb maana walitoa za mwanzo alaf wamebadilisha zingne) unaandika particulars zako zote, ikiwemo kazi yako na copy ya kitambulisho cha kazi, barua y kuthibitisha makazi kutoka kwa katibu kata wa kata unayoishi, KIKWANGO CHA PESA UNACHOINGIZA KWA MWAKA! n.k