hizi enzi unakumbuka?

Nakumbuka kipindi hicho hm hari mbaya ya kimaisha, hapo asubuhi naenda shule na njaa naludi jioni nakuta dona na matembele ya chukuchuku! Mungu ashukuliwe amenitoa mbali hadi hapa nilipo.
Ismail N. Juma ili uwe na furaha zaidi unapomshukuru Mungu ukumbuke pia kusaidia wale ambao bado wapo katika hali mbaya kimaisha ili nao waweze kutoka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom