Jamani hebu tufanye walau makisio tu.
1. Ni asilimia ngapi ya taifa la tanzani kuna umeme? wa grid ya taifa aumagenerata! (namaanisha maeneo wanayoishi watu)
2. Ni asilimiangapi ya watanzania wote wanapata umeme? uwe wa Grid ya taifa, magenerator au Sola! (watumiaji wa nishati)
Utagundua kuwa hiyo hali siyo ya kale ndiyo maisha ya watanzania waliowengi mpaka leo hii, mijini na vijijini
Kwa kifupi picha hiyo inasummerise hali halisi ya watanzania walio mashambani na hata mijini sio wote wanaishi nyumba zenye umeme na kumudu gharama zake.
BADO TUKO NYUMA SANA. (zidumu fikra sahihi za wanyeviti wa ccm kwa umasikini.................)