Hizi betri zinasumbua, msaada tafadhali

Hizi betri zinasumbua, msaada tafadhali

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Nina simu yangu iligoma kuwaka ghafla kwahiyo nikaamua kubadili betri na kuweka zingine nione kama itawaka, lakini haikuwaka na cha ajabu hata hizi betri nazo zimegoma kupeleka chaji, na hazioneshi kama zina chaji.

Kipindi naziweka kwenye simu zilikuwa na chaji, nimejaribu kuwasha simu ikakataa ndio nikaamua kuzitoa. Sasa ndio zimepata majanga hayo.

Mwenye uzoefu na tatizo hili anisaidie, nifanyeje ili betri hizi zirudi kwenye hali yake ya kawaida?

Nimejaribu kuchajia kwenye kobe napo bila mafanikio yoyote.
Msaada wenu tafadhali!. Asanteni
 
Mkuu
Eleza Simu Yako Ni Aina Gani?
Ulinunua Wapi
Ili Wataalam Wakija Ambao Tunawangoja Upate Msaada Haraka Sana
 
Hazijaungua mkuu. Hazitoi alafu yoyote ya kuungua. Na nikizilamba hazina moto kabisa. Betri moja iliwahi kuwa na tatizo hilo, nikailamba na kuiweka chaji ikakubali kupeleka moto. Safari hii umegoma kabisa licha ya kufanya hivyo vyote
 
Pole Sana
Lakini Matumaini Yapo Hapo Utapata Ufumbuzi
 
Back
Top Bottom