Hiyo ndio Libya ya Sasa Walikuwa wanataka Democracy ...............Ya Ukweli.

Hiyo ndio Libya ya Sasa Walikuwa wanataka Democracy ...............Ya Ukweli.

Hii Libya Ndio Kama Tz Yetu Ya Sasa...
Kipindi Cha Gaddaf Ndio Kama Kipindi Hiki Amani Imetawala Nchini Lakin Kuna Wachache Wanalalama Kuhus Sirikali Kutotenda Hakin Na Kwenda Mbali Mpaka Kuwa'Interrogate Wale Wasaka Aman Na Democracy....

Sasa Itatokea Wachache Watashika Silaha Wataaribu Utaratibu Wa Serikali Na Nchi Itawashinda....

Tuwe Makini Na Watarijiwa Kwa Hili

Gadafi ni ccm,wale waasi ni ukawa..
 
libya-civil-war.jpeg


NATO’s proxy rebel army is also responsible for the persecution, lynching and ethnic cleansingof black Africans in Libya (Image: Phantom Report)

Yani watu wazima waamue kufanya unyama wao wawasingizie wengine huu ni upumbavu wa hali ya ya juu Libya ni taifa kamili linalojitegemea hauwezi kublame taifa lolote kwa maamuzi yanayochukuliwa na kuamuliwa na viongozi wa kilibya labda kama Libya ni colony la mmarekani kwa sasa.
 
Huwezi kujua thamani ya ulichonacho mpaka pale kitakapokutoka
 
kwani si ccm ndio watakaoleta fujo!/ALLOW PEOPLE TO CHOOSE THEIR LEADER,WACHAGUE KIPENZI CHA MIOYO YAO! DONOT INTERCEPT MAJORITY CHOICE/
 
Huyo anamuoneshea jamaa gun hyo mlibya
mweusi kwa gazabu, sijui kama mbeleni alipona
 
unaumwa wewe si bure! utakuwa unafaidika mojakwamoja na huu ufedhuri na udharimu unaofanywa na serikali yako ya kishetaniCCM au bado mtoto wa mama kula kulala usokuwa na vision ktk maisha yako.
Ulikuwa unaijua sera ya Gaddaf kwa Africa baada ya kuistaarabisha Libya? au unalopoka tu?

Achana nae mtoto wa mama huyo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom