Hiyo ndio Libya ya Sasa Walikuwa wanataka Democracy ...............Ya Ukweli.

Hiyo ndio Libya ya Sasa Walikuwa wanataka Democracy ...............Ya Ukweli.

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10616277_829246377110001_6328013499825482307_n.jpg
 
Attachments

  • Libya.jpg
    Libya.jpg
    52 KB · Views: 1,006
....to me its better to have freedom katika mahangaiko yangu kuliko mateso katika majumba ya kifahari. Libya wamepewa Uhuru wakaingia tamaa ya ulafi Wa madaraka, kama wangeheshimu utawala wa sheria wala wasinge fika halo, so tatizo sio Marekani tatizo ni ulimbukeni wao wenyewe....
 
Ina maana waLibya hawana akili zao binafsi kuchambua kizuri na kibaya hadi wakakubaliana kuamuliwa democracy na Marekani?
 
Ulitaka kusema nini mtoa mada, hebu funguka!
 
Jeremia 1;8-9

Ndipo Bwana akaunyosha mkono wake,akanigusa kinywa changu;Bwana akasema Tazama nimetia maneno kinywani mwako.

Angalia nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili KUNG'OA na KUBOMOA na KUHARIBU,na KUANGAMIZA; ili KUJENGA na KUPANDA.
 
Tatizo ni nyimbo za wanasiasa za kusema kuwa Gadafi alikua fisadi aliyeficha mabilioni huko ulaya na kwamba wangepata maisha mazuri endapo watamwondoa na kumweka rais mwadilifu ,malaika asiyependa fedha ,atakayewafikisha madisadi wote mahakamani.
Propoganda za ufisada zikarudiwa rudiwa mara nyingi kama wimbo mwishowe zikawaingia watu wengi na kuamua kuipata Libya inayokaribiana na maisha ya Peponi.
Wakaamua kumtoa na kumuua fisadi Gadafi.
Matokeo yake ndio hayo ,hakuna cha pepo wala maisha bora ,waliojiita waadilifu nchi imewashinda kutawala .

Nchi inatawaliwa kwa misingi ya katiba na maamuzi sahihi sio maneno matamu ya mdomoni.
 
Hii Libya Ndio Kama Tz Yetu Ya Sasa...
Kipindi Cha Gaddaf Ndio Kama Kipindi Hiki Amani Imetawala Nchini Lakin Kuna Wachache Wanalalama Kuhus Sirikali Kutotenda Hakin Na Kwenda Mbali Mpaka Kuwa'Interrogate Wale Wasaka Aman Na Democracy....

Sasa Itatokea Wachache Watashika Silaha Wataaribu Utaratibu Wa Serikali Na Nchi Itawashinda....

Tuwe Makini Na Watarijiwa Kwa Hili
 
wanasemwa viongozi kama akina gadaf,sadam,mubaraka,ali salehe walikua wanatawala nchi zao zikiwa na amani kabla demokrasia ya mmarekani haijaingia
 
Hii Libya Ndio Kama Tz Yetu Ya Sasa...
Kipindi Cha Gaddaf Ndio Kama Kipindi Hiki Amani Imetawala Nchini Lakin Kuna Wachache Wanalalama Kuhus Sirikali Kutotenda Hakin Na Kwenda Mbali Mpaka Kuwa'Interrogate Wale Wasaka Aman Na Democracy....

Sasa Itatokea Wachache Watashika Silaha Wataaribu Utaratibu Wa Serikali Na Nchi Itawashinda....

Tuwe Makini Na Watarijiwa Kwa Hili

unaumwa wewe si bure! utakuwa unafaidika mojakwamoja na huu ufedhuri na udharimu unaofanywa na serikali yako ya kishetaniCCM au bado mtoto wa mama kula kulala usokuwa na vision ktk maisha yako.
Ulikuwa unaijua sera ya Gaddaf kwa Africa baada ya kuistaarabisha Libya? au unalopoka tu?
 
Comment Yangu Ilikua Ni Kama Mfano Na Nafikiri Umekuingia SawaSawa Akilini Mwako Kwa Sababu Ulivoanza Tuu Umeonesha Jazba...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom