Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Viwanda vya plywood vya wachina vilivyopo mkoa wa iringa na njombe Saiz wawekezaji wanaenda kuwekeza moja kwa moja eneo ambalo material yanapatikana
1697948049588.jpg
1691382953105.jpg
 
Duniani? kote coastal cities huwa zinachangia sana uchumi wa nchi na ndipo miji mikubwa ya kibiashara ilipo na wawekezaji hupendelea kuwekeza kwa sababu ya uwepo wa bandari

Dar haitakuja kupigwa bao hata siku moja mkuu na hiyo mikoa uliyotaja
Duniani kote vipi kuhusu Mombasa na Nairobi nahiyo ndo tunaijua bado ambazo hatuzijui
 
Duniani kote coastal cities huwa zinachangia sana uchumi wa nchi na ndipo miji mikubwa ya kibiashara ilipo na wawekezaji hupendelea kuwekeza kwa sababu ya uwepo wa bandari

Dar haitakuja kupigwa bao hata siku moja mkuu na hiyo mikoa uliyotaja
Dsm kinachotakiwa kufanyika now labda iongeze eneo la kiutawa kwa kuchukua maeneo ya jilan na pwan ili kuongeza uwekezaji maana viwanda ving vpo pwan na gap na mikoan la kiuchumi limeanza kupungua kutokana na kuimarika kwa miundombinu
 
New York haijawahi pitwa na Washington

Lagos haijawai pitwa na Abuja
Ni kwa sababu hizo nchi mbili ulizotaja kwa maana ya USA na Nigeria ni federal states, kila state inajiamulia mambo yake na sheria kama state. Sisemi kuwa nakubaliana na mtoa hoja 100% hapana ila sera za nchi hii ni moja hakuna ushindani wa mji na mji kujitungia sheria kama USA ziko state kama Florida wana low tax huu ni mfano tu. Kwa hapa Dar itabaki kuwa Dar sababu kuu moja, Bandari, na Dar ilipendelewa sana kwa miaka mingi sana lakini hii hali inashift centralization inaondoka. Zamani ukitaka chochote hapa passport tu lazima Dar siku hizi hakuna. Dar airport imeshapitwa na Zanzibar na airport ya Dodoma ikiisha itachukuwa kidogo cha Dar lakini msumari wa mwisho kwa Dar bandari ikienda Bagamoyo itapunguza sana nguvu ya Dar na sababu ni kuwa Dar kodi ziko juu wafanyabiashara watafuata kodi ndogo ku maxmize faida haya yatakuja, miaka 10 au 20 au 50 lakini yanakuja kwa kasi wala sio siri. Hoja Dar ina watu wengi yes true lakini wakuja wengi na walikuja kufuata fursa za kiuchumi na wataondoka kufuata fursa za kiuchumi pia.
 
Dsm kinachotakiwa kufanyika now labda iongeze eneo la kiutawa kwa kuchukua maeneo ya jilan na pwan ili kuongeza uwekezaji maana viwanda ving vpo pwan na gap na mikoan la kiuchumi limeanza kupungua kutokana na kuimarika kwa miundombinu
Umeona wawekezaji bado wanapendelea maeneo yaliyo karibu na bandari

Ndio maana kumekuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda mkoa wa Pwani hasa hapo Kibaha na Bagamoyo kwa sababu ni karibu na bandari ya Dar
 
There is no success like dar success.

Hata kule states miji kibao imeendelee ila hakuna NEW YORK CITY itabaki kuwa hivyo.

Wa kwanza ni WA kwanza tu.
Mkuu hatuangalii majengo ya marefu ya sehemu husika tunaangalia uchumi wa eneo Zima either iwe mkoa au Jimbo au nchi Kwa pale marekani sehemu inachangia maendeleo makubwa ya marekani ni California
 
Mkuu hatuangalii majengo ya marefu ya sehemu husika tunaangalia uchumi wa eneo Zima either iwe mkoa au Jimbo au nchi Kwa pale marekani sehemu inachangia maendeleo makubwa ya marekani ni California
Sio swala la majengo Wala miundombinu.

maisha ya dar itabaki kuwa dar mzee.

GDP ya dar sidhani itakuwa rahsi kuipiku.
Maisha ya dar Yako very expensive
Kila kitu utakipata dar.
Pesa Iko dar
Dair itabaki kuwa dar na DODOMA itakuwa DODOMA
 
Mkuu hatuangalii majengo ya marefu ya sehemu husika tunaangalia uchumi wa eneo Zima either iwe mkoa au Jimbo au nchi Kwa pale marekani sehemu inachangia maendeleo makubwa ya marekani ni California
California ni jimbo. Ndani yake Kuna miji kadhaa Sasa wakifanya commulative Wealth ndio inakuwa juu.

Lakini ukizungumzia mji/Jiji/ basi New York city sio jimbo la New York. Elewa hivyo
 
Viwanda vya plywood vya wachina vilivyopo mkoa wa iringa na njombe Saiz wawekezaji wanaenda kuwekeza moja kwa moja eneo ambalo material yanapatikana
View attachment 2788751View attachment 2788753
Na bado wanaendelea kumiminika Kwa wingi sana Kwa njombe Kambi Yao kubwa ni mtwango hawajamaa hawafaii wakiingia sehemu wanapaendeleza sio mchezo jana.
 
Back
Top Bottom