Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Hali ya hewa ya Dodoma peke yake ni kichapo, mtu unapauka kama mdudu sometimes! Waliojiwekeza Dar toka mkoloni hawakukosea, sema ndio hivyo tena, kunavigezo waliona (kimtazamo wangu lakini), ndiyo maana mji huu umeendelea kdg. Dar ukidondoka tu, wiki mbili nyingi, unatakata!
 
Mengine siasa tu mzee,mimi nimekaa Mtwara kidogo,Songea ,Njombe,Mbeya na Iringa na pia Dar nimezaliwa hapa mpaka leo nakuhakikishia wakati Dodoma itakuja kua Dar ya leo basi jua Dar itakua mara 50 mbele ya hiyo Dodoma.
Bado bwana mdogo huyo, hamna anachokijua zaid ya story za vijiweni.
 
Siasa? Hafu sijasema Dodoma itaipita dar ila inapunguza makali ya dar nakufanya iwe rahisi kupitwa na mikoa inayo ikimbiza
 
Bado bwana mdogo huyo, hamna anachokijua zaid ya story za vijiweni.
Mkuu yaani mikoani kwenye suala la fursa bado sana. Fursa ndizo zinazofanya mji kukua ,sasa mfano unaenda kwenye mkoa( kijiji) unachokaa wewe mfanyakazi wa serikali ndo boss hapo unadhani utafanya biashara gani maana hakuna wanunuzi wote wanategemea msimu na raia wapo taabani.
 
Hali ya hewa ya Dodoma peke yake ni kichapo, mtu unapauka kama mdudu sometimes! Waliojiwekeza Dar toka mkoloni hawakukosea, sema ndio hivyo tena, kunavigezo waliona (kimtazamo wangu lakini), ndiyo maana mji huu umeendelea kdg. Dar ukidondoka tu, wiki mbili nyingi, unatakata!
 
Mkuu yaani mikoani kwenye suala la fursa bado sana. Fursa ndizo zinazofanya mji kukua ,sasa mfano unaenda kwenye mkoa( kijiji) unachokaa wewe mfanyakazi wa serikali ndo boss hapo unadhani utafanya biashara gani maana hakuna wanunuzi wote wanategemea msimu na raia wapo taabani.
Mkuu sio hamna fursa mkuu Nia akili. Wabongo wengi wanaonaga fursa kubwa ni biashara za uchuuzi ambazo nyingi hutumia akili kidogo na mtaji mkumbwa pia hutegemea idadi kubwa ya watu. Lakini fursa zenye kutumia akili kama Mashamba makubwa na viwanda vidogo vidogo vinategemea sana malighafi wa huwa wanakujaga baadae. Mbona wazuungu, wachina saizi hata wakenya wanagombania huku mkoani.
 
Dar ina kila sababu ya kuwa na uchumi mkubwa
Sidhani kama utafiti wako uko sahihi
Kuhamia Ddm watu hakupunguzi mapato kwani kuna vitu vingi vya kuingiza hela Dar

Viwanda kuwepo nje ya jiji ni vizuri kwani polluting area zinapungua na tunahitaji kupumua hewa safi

Hata duniani miji mikuu kulikuwa na viwanda miaka 100 iliyopita ila vimehamishwa au kufa vyote na sasa vipo nje ya miji mikubwa
Huwezi kukuta kiwanda cha magari London ila ni jiji linaongoza hapa kwa mapato
Nimeweka mfano tu kwani nalijua jiji hili zaidi ya Dar
Wana ingiza mamilioni kila leo na Mayor anapiga kazi haswa kuhakikisha jiji linaingiza hela kila siku

Nyie huo Mayor sijui hata kazi yake
Mkuu wa Mkoa hana ubunifu yupo kwa ajili ya Chama zaidi na sifa tu
Viongozi wanasubiri jengo au barabara iishe wakazindue
Ujinga huu huwezi kuuona majuu
Mkandarasi anamaliza kazi kimya kimya wewe asubuhi unapita juu tu
 
Back
Top Bottom