HiY

Shindwa kabisa na hilo pepo likutoke,malipo gani wataka?
Ushan'tibua.
Sikupi Patna.

Sasa pepo gani jamani Madame B? Kwani kitu chenye thamani ni hela tu? Au we unataka pesa bhaaasss? SEMA TU

unaweza ukapewa holiday package na patna wako au gift voucher za shoping au fuel card huwezi jua
 
Last edited by a moderator:
wallah nafc inaniuma yani dogo Dennize mnamkaribisha mnamtafutia patna,mbona mie ckufanyiwa hivyo ? Huu si usawa FP Madame B mnahusika kujibu ,yaan hapa nilipo nimenuna !!

we mamito changamkia mgeni huyo unasubiri hadi kina siye tukuoneshe oooh!
 
Last edited by a moderator:
wallah nafc inaniuma yani dogo Dennize mnamkaribisha mnamtafutia patna,mbona mie ckufanyiwa hivyo ? Huu si usawa FP Madame B mnahusika kujibu ,yaan hapa nilipo nimenuna !!

Usikasirike Shoga.
Ngoja nikutafutie ila kwa muda huu ambao nakutafutia,njoo tujibanze kwa Rutta wangu kwanza mpaka hapo nitakapokutafutia,umesikia Ciello?
Pole sana Ciello rafiki, maadamu miss Madame B limemfikia hili shaka ondoa, utapata soon.
Kwa tip tu, unaweza kucheck na Erickb52 alikuwa anataka kuongeza mke, au mchumba wangu TANMO yupo kwenye maandalizi ya ndoa, anaweza akaunganisha akaoa 2 kwa mpigo....... ila kuhusu huyu TANMO muulize pia my sweetie wii sweetlady kama atakubali kuwa na ma wiii wa2
 
Last edited by a moderator:
Sasa pepo gani jamani Madame B? Kwani kitu chenye thamani ni hela tu? Au we unataka pesa bhaaasss? SEMA TU

unaweza ukapewa holiday package na patna wako au gift voucher za shoping au fuel card huwezi jua

....na mwisho wa siku :lol:?
 
Last edited by a moderator:

FP siku hizi watu wanapekekana ki-Wema Sepetu.
Unamwaga midorale mpaka mkwe anakuachia mwanae userebuke nae.
Chezea Illuminat weye!!
 
Last edited by a moderator:
FP siku hizi watu wanapekekana ki-Wema Sepetu.
Unamwaga midorale mpaka mkwe anakuachia mwanae userebuke nae.
Chezea Illuminat weye!!
hapo kwenye RED pamenipita, mweeeeeeeeeeeeeee.............. sijui hata umemaanisha nini, lol
 
Hahaaa Madame B bado sijampata Ayumi wangu, ila nimesoma Babuu blessed anatafuta dume wa kumzalisha pet dog, labda ndo huyo, najaribu kuarenj kama wewe na mjomba angu Preta mnaweza kufanya ambush kwa Babu kuona kama ndo mwenyewe.

Malipo sh ngapi?
Biashara asubuhi.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…