Hiviiiiii.....! mh!

Hiviiiiii.....! mh!

driller

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
1,116
Reaction score
246
jamani nimetoka kuangalia INVESTIGATION DISCOVERY kuna jamaa mmoja alisema yeye ni polisi na amepoteza funguo zake so anahitaji watoto wa eneo hilo wakamsaidie kuzitafuta....! kumbe alikua anataka kubaka bwana.... akakutana na mtoto mmoja wa kike ambae ni kati ya wale wanao msaidia kutafuta funguo... katoto ka watu masikini kakamuuliza umezipata funguo..? jamaa akasema sijazipata hebu twende tukazitafute pamoja,...! asee kumbe anataka kumbaka... akambaka na akamaliza akamuua kwa kumchoma moto....!
HEBU IMAGINE ALIYE FANYIWA HIVYO NI MWANAO HIVI JAMANI UTAFANYA NINI....! TUWE WAKWELI HAPA TUSITAFUTE CREDIT ZA KIZUSHI.....!
 
ndio maana ulaya watoto hawaruhusiwi kutembea wala kuachwa peke yao mizungu ina roho mbaya kuliko hata miafrika..:confused3: :shock:
 
jamani nimetoka kuangalia INVESTIGATION DISCOVERY kuna jamaa mmoja alisema yeye ni polisi na amepoteza funguo zake so anahitaji watoto wa eneo hilo wakamsaidie kuzitafuta....! kumbe alikua anataka kubaka bwana.... akakutana na mtoto mmoja wa kike ambae ni kati ya wale wanao msaidia kutafuta funguo... katoto ka watu masikini kakamuuliza umezipata funguo..? jamaa akasema sijazipata hebu twende tukazitafute pamoja,...! asee kumbe anataka kumbaka... akambaka na akamaliza akamuua kwa kumchoma moto....!
HEBU IMAGINE ALIYE FANYIWA HIVYO NI MWANAO HIVI JAMANI UTAFANYA NINI....! TUWE WAKWELI HAPA TUSITAFUTE CREDIT ZA KIZUSHI.....!

na yeye tuna mkameruni halafu kifo ndio mwisho wa stori..
 
loh kuna mijitu ina roho ya shetani

imagine ni mwanao..! kwenye actual footage ambayo iliniumiza roho ni kwamba yule mama alisoma waraka flani hivi mahakamani wakati kesi ya jamaa inasikilizwa..! daaah iliniuma kinyama..! jamaa alihukumiwa KUNYONGWA LAKINI...!
 
Kama ni mimi namsamehe bure maana imeandikwa "maana BABA yenu wa mbinguni hatawasamehe ninyi msipowasamehe wanaowaudhi". Sehemu nyingine anasema "usilipe kisasi maana kisasi ni cha Bwana".
 
Mungu akuongezee kuliko mahitaji yako..!
 
Mmh, kazi ipo hata huku wanamtuma dukani afu wanambaka
Bora kulinda mwana wako mwenyewe.
 
Poor her....kuna psycho paths dunia hii mpaka inashangaza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom