Hivii kuoa/kuolewa...

Hili linatokea mara nyingi kwa sababu vijana wengi hawajiamini,hilo ndilo tatizo kubwa,lakini inawezekana kabisa kuwa na rafiki wa jinsia tofauti na yako halafu nothing going on!
 
...nitapofanikiwa kumfanya mwandani wangu awe ndiye best friend, hao wengine tutakuwa tunaonana mara moja moja tu kwenye shughuli au tunapotembeleana. Huo urafiki wa kumkimbia mke wangu, au yeye awe na rafiki wakumtunzia siri doesn't sound right.
 
Unapoingia kwenye ndoa na ikawa tamu, marafiki wa jinsia tofauti hata kama walikuwa karibu kiasi gani huanza kupukutika wenyewe na mwisho utaishi kama hujawahi kuwa nao vile. Hata wakiendelea kuwasiliana nawe mawasiliano yatakuwa ya kawaida sana na hakuna atakayehoji urafiki wenu. Tatizo la marafiki wa jinsia tofauti ni kwamba ukaribu wao huongezeka kadri ndoa inavyozidi kuingia uchungu. Ndiyo maana watu huanza kuhoji na mwishowe hufikia hatua migogoro ikawa mikubwa hata kuvunja ndoa.
Lizzy tazama mfano huu: Unamzimia jamaa m1 ile mbaya, jamaa naye hataki ukae mbali na mwisho mmeamua kuoana. Mshikaji huyu ndiyo kila kitu kwako, hujisikii raha akiwa mbali, hapiti popote akitoka kutafuta kabla hajakuona wewe pia (kama unatafuta). Mkiwa home mnasaidiana mambo mengi na raha mnapeana. Mnataniana mnadekezana na usiku ukijigeuza anashtuka. Simu ikiita kwa pamoja mnasonya kwa kuwa imeingilia privacy yenu. Swali linakuja: Mapenzi yakiwa yamekolea na nyie kufanya maksudi yasichuje nafasi ya rafiki zako wa zamani tena wa jinsia tofauti unaipata wapi?
Ninavyojua mimi penzi likiwa tamu hata JF itaonekana inakupotezea muda wa kukaa na mwandani wako. Sijui wewe unakuwa vipi ukiwa penzini!
 
Unapoingia kwenye ndoa na ikawa tamu, marafiki wa jinsia tofauti hata kama walikuwa karibu kiasi gani huanza kupukutika wenyewe na mwisho utaishi kama hujawahi kuwa nao vile. Hata wakiendelea kuwasiliana nawe mawasiliano yatakuwa ya kawaida sana na hakuna atakayehoji urafiki wenu. Tatizo la marafiki wa jinsia tofauti ni kwamba ukaribu wao huongezeka kadri ndoa inavyozidi kuingia uchungu. Ndiyo maana watu huanza kuhoji na mwishowe hufikia hatua migogoro ikawa mikubwa hata kuvunja ndoa.
Lizzy tazama mfano huu: Unamzimia jamaa m1 ile mbaya, jamaa naye hataki ukae mbali na mwisho mmeamua kuoana. Mshikaji huyu ndiyo kila kitu kwako, hujisikii raha akiwa mbali, hapiti popote akitoka kutafuta kabla hajakuona wewe pia (kama unatafuta). Mkiwa home mnasaidiana mambo mengi na raha mnapeana. Mnataniana mnadekezana na usiku ukijigeuza anashtuka. Simu ikiita kwa pamoja mnasonya kwa kuwa imeingilia privacy yenu. Swali linakuja: Mapenzi yakiwa yamekolea na nyie kufanya maksudi yasichuje nafasi ya rafiki zako wa zamani tena wa jinsia tofauti unaupata wapi.
Ninavyojua mimi penzi likiwa tamu hata JF itaonekana inakupotezea muda wa kukaa na mwandani wako. Sijui wewe unakuwa vipi ukiwa penzini!
Aiseee...yawezekana hata huo muda usiwepo ehhhh?!Ngoja nisubirie penzi tamu kama asali labda na mie ntaona ni kwa kiasi gani umuhimu wa marafiki unaweza kushuka‘!
 
Aiseee...yawezekana hata huo muda usiwepo ehhhh?!Ngoja nisubirie penzi tamu kama asali labda na mie ntaona ni kwa kiasi gani umuhimu wa marafiki unaweza kushuka‘!

Katika maisha marafiki wana nafasi yao hata uwe kwenye penzi tam kama nini!
 
Usemacho ni kweli lakini penzi la mwandani likikolea ukaribu na marafiki wa aina aliyoitaja mtoa mada, hupungua sana na hata kama urafiki haufi ukaribu unakuwa wa kawaida sana kiasi kwamba hakuna atakayehoji na hakuna mgogoro utakaojitokeza. Kama huamini fanya utafiti kwa watu unaowajua halafu utaujua ukweli. Ukiona kidume anawasiliana sana na schoolmates wa kike wakati mwingi chunguza vizuri maana kutakuwa na faraja anayoipata huko baada ya kuikosa ndani. Na ukiona hivyo usipuuze kuhoji kulikoni.

Katika maisha marafiki wana nafasi yao hata uwe kwenye penzi tam kama nini!
 
rafiki wa jinsia tofauti wanaweza kuwepo but wata'kufa' natural death ndoa inavyozidi kwenda mbele. mambo mengi maishani yatafanywa na spouse wako kuliko hao washkaji. after all unataka uwe unafanya nini na hao washkaji na huo muda wa kuyafanya hayo unautoa wapi? tayari ndoani kuna mambo mengi ya kufanya na muda hautoshi!
 
Minafikiri sio mwisho wa urafiki na jinsia nyingine tofauti, ila ni mwanzo wa social distance kati yenu,manake watu wengine bwana utamkuta stori sana vicheko,kugonga,outing na mme au mke wa mtu lakini akifika jimboni mwake hayafanyi haya we unafikiri urafiki wa aina hii utaeleweka kweli jimboni?? Naongea na LIZZY ripoti hii usipuuze:glasses-nerdy:
 
Una maanisha aanacheka na kugonga na nyumba ndogo?kidumu?
 
Una maanisha aanacheka na kugonga na nyumba ndogo?kidumu?

Hapana Gaga sio nyumba ndogo,namaanisha rafiki yake ambaye si mke au mume wake.Yaani rafiki anakua karibu sana na mtu mwingine kuliko mume au mke wake.
 
Mimi mke wangu marafiki zake wote ni wanaume kwa visingizio kuwa wafanyakazi wenzake, wanapiga deals pamoja, tangu kuzaliwa amezoea wanaume kuliko wanawake amabao yeye anawita wambea. Sasa tatizo kila akibeba mimba lazima aitoe kwa visingizio mbali mbali kama vile kwa sasa nina kazi nyingi siwezi kupewa likizo ya uzazi, au sijisikii kuzaa kwakweli sasa hivi nk, nk.
Ana uhuru wa kutosha kurudi nyumbani muda anaotaka kwa kile anachosema alikuwa na evening talks na marafiki zake hao wa kiume!!

Je mpaka hapo kuna usalama katika urafiki huo ( manake mimi siulizi hata akirudi saa 6 usiku namfungulia mlango, manake siku hizi utaambiwa ni mfumo dume kumnyima uhuru au kumuuliza anatoka wapi muda huo!!) sasa mimba anazotoa si ni kuogopa zisijekuwa zinafanana na urafiki wake huo???

Wewe utakuwa mume ***** kabisa nadhani mwanamke arudi wewe ndo ufungue mlango una kichaa au
 
Back
Top Bottom