Hivi Zito ni mzima kweli kichwani?

Muhuni yule, yupo connected na wana mtandao japo sio mnufaika wa moja kwa moja.. yeye ni mla mabaki ( makombo )
 
Ndiyo ni mzima maana kweli Chadema haijawahi kufanikiwa kwenye maandamano, ina wafuasi waoga kama Nyumbu
 
Maandamano ya ACT labda Zanzibar lakini hapa Tanganyika wataandama Waha wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…