Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
Kama zika inasababisha vichwa vidogo na Tanzania ina tatizo la vichwa vikubwa na Mgogo wazi. Basi wacha watumbuliwe tu mpaka mwisho wao na PHD za kunywea maji. Tena huyu atakuwa kachomekewa tu na vijana. Labda alikuw alikuwa anasumbua vijana wake hapo. NIMRI
Anajua mdhara kwa ndege za Magufuri kweli. Thats means watalii wote watakimbia Tanzania kwa kuhofia Zika.
Tatizo hamtaki kusemwa hamtaki ukweli mnataka siasa za kusifiwa kwenye page za magazeti tu hamtaki kuambiwa ukweli dunia hii hamtaweza kupata watu Wa kuwasifia tu lazima Wa kuwakosoa wawepo Na wakweli wawepo pia waongo mtabaki wenyewe kwani Brazil awana watalii marekani awana watalii mbona walitangaza kuwa wana zikaHao waharifu tu chukua jembe ukalime! Impact kumi haikuangaliwa wakati wa kutangaza matokeo ya ZIKA
Kwahiyo ni bora watalii waje kupatwa na Zika wakiwa Tanzania?Hao waharifu tu chukua jembe ukalime! Impact ya kiuchumi haikuangaliwa wakati wa kutangaza matokeo ya ZIKA
Tatizo hamtaki kusemwa hamtaki ukweli mnataka siasa za kusifiwa kwenye page za magazeti tu hamtaki kuambiwa ukweli dunia hii hamtaweza kupata watu Wa kuwasifia tu lazima Wa kuwakosoa wawepo Na wakweli wawepo pia waongo mtabaki wenyewe kwani Brazil awana watalii marekani awana watalii mbona walitangaza kuwa wana zika
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
Kwahiyo ni bora watalii waje kupatwa na Zika wakiwa Tanzania?
Ulitaka anyamaze ili hao watalii wakija waache kwenda mbugani kushangaa wanyama wabaki mjini kushangaa watoto wetu wakiwa na vichwa cidogo wamejaa mitaani?!
Wewe ni mnafiki tu una loloteHeheheh Zika ni ugonjwa hata bila utrafiti ingejurikana tu! Nainaenezwa na mbu kama malaria. Nadhani ungeenda CCBRT ungekuta tu wazazi wanaangaika
Zika ipo kwa mujibu wa utafiti acheni mchezo na magonjwa, hata ukimwi mlisema haupo ni uongo wa wazungu leo umeua ndugu na bado ni janga karibu kila familia. Endelee kupuuza utafiti wa NIMRI msubiri utafiti kwa hisani ya watu wa marekani maana utumwa bado haujatutoka.Kaka hakuna zika tanzania. Zika si mchezo ndugu yangu zika ni balaa
Nadhani kuna mahali hatujaelewana mkuu, naifahamu Zika mkuu,na pia natambua uwepo wake Tanzania kwa mujibu wa tafiti iliyofanyika.Sasa tatizo langu ni wenye mamlaka kutotaka ifahamike wakati itakapotokea hao watalii wanaohofia kuwapoteza wakipata maambukizo wakiwa katika inchi yetu ilhali hatujajipanga vya kutosha kukabiliana na hali hii itatujengea picha mbaya zaidi kwakuwa itakuwa serikali ndio imehatarisha maisha ya wageni kwa makusudi au uzembe.Zika ipo kaka au hujui nini?
unafikiri watalii wanafuatilia taarifa za NIMR ili kuja? wana "maNIMR'' Yao huko yanataarifa zote na ndiyo wanayaamini.Kama zika inasababisha vichwa vidogo na Tanzania ina tatizo la vichwa vikubwa na Mgogo wazi. Basi wacha watumbuliwe tu mpaka mwisho wao na PHD za kunywea maji. Tena huyu atakuwa kachomekewa tu na vijana. Labda alikuw alikuwa anasumbua vijana wake hapo. NIMRI
Anajua mdhara kwa ndege za Magufuri kweli. Thats means watalii wote watakimbia Tanzania kwa kuhofia Zika.