Wazazi, walezi watakiwa kutowaficha Watoto wenye changamoto ya Vichwa Vikubwa na Mgongo Wazi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Maadhimisho ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu wa Vichwa Vikubwa na Mgongo Wazi imeadhimishwa leo Oktoba 25, 2022 Duniani kote na wito umetolewa kutowaficha watoto hao wenye changamoto hiyo ya kiafya.

Afisa Ustawi wa Jamii MOI, Sophia Nasson ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuhakikisha hawawafichi watoto hao.

Amesema “Tupaze sauti kwa ajili ya Watoto wenye vichwa vikubwa na Mgongo Wazi kama ambavyo kauli mbiu ya mwaka huu (2022) inavyosema “Tusiwanyanyapae Wapate Matibabu Kama Inavyohitajika”.
IMG_5330.jpg
 
Back
Top Bottom