Hivi Zika inasababisha Vichwa vikubwa na Mgongo wazi?

Pascal Ndege

Verified Member
Nov 24, 2012
2,393
2,000
Kama zika inasababisha vichwa vidogo na Tanzania ina tatizo la vichwa vikubwa na Mgogo wazi. Basi wacha watumbuliwe tu mpaka mwisho wao na PHD za kunywea maji. Tena huyu atakuwa kachomekewa tu na vijana. Labda alikuw alikuwa anasumbua vijana wake hapo. NIMRI

Anajua mdhara kwa ndege za Magufuri kweli. Thats means watalii wote watakimbia Tanzania kwa kuhofia Zika.
 
Kibo255

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
4,408
2,000
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Pascal Ndege

Verified Member
Nov 24, 2012
2,393
2,000
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
Hao waharifu tu chukua jembe ukalime! Impact ya kiuchumi haikuangaliwa wakati wa kutangaza matokeo ya ZIKA
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
49,040
2,000
Kama zika inasababisha vichwa vidogo na Tanzania ina tatizo la vichwa vikubwa na Mgogo wazi. Basi wacha watumbuliwe tu mpaka mwisho wao na PHD za kunywea maji. Tena huyu atakuwa kachomekewa tu na vijana. Labda alikuw alikuwa anasumbua vijana wake hapo. NIMRI

Anajua mdhara kwa ndege za Magufuri kweli. Thats means watalii wote watakimbia Tanzania kwa kuhofia Zika.
umesahau kuweka namba yako ya simu upewe cheo huko CCM.
 
Kibo255

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
4,408
2,000
Hao waharifu tu chukua jembe ukalime! Impact kumi haikuangaliwa wakati wa kutangaza matokeo ya ZIKA
Tatizo hamtaki kusemwa hamtaki ukweli mnataka siasa za kusifiwa kwenye page za magazeti tu hamtaki kuambiwa ukweli dunia hii hamtaweza kupata watu Wa kuwasifia tu lazima Wa kuwakosoa wawepo Na wakweli wawepo pia waongo mtabaki wenyewe kwani Brazil awana watalii marekani awana watalii mbona walitangaza kuwa wana zika
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Pascal Ndege

Verified Member
Nov 24, 2012
2,393
2,000
Tatizo hamtaki kusemwa hamtaki ukweli mnataka siasa za kusifiwa kwenye page za magazeti tu hamtaki kuambiwa ukweli dunia hii hamtaweza kupata watu Wa kuwasifia tu lazima Wa kuwakosoa wawepo Na wakweli wawepo pia waongo mtabaki wenyewe kwani Brazil awana watalii marekani awana watalii mbona walitangaza kuwa wana zika
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
Heheheh Zika ni ugonjwa hata bila utrafiti ingejurikana tu! Nainaenezwa na mbu kama malaria. Nadhani ungeenda CCBRT ungekuta tu wazazi wanaangaika
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,203
2,000
Ulitaka anyamaze ili hao watalii wakija waache kwenda mbugani kushangaa wanyama wabaki mjini kushangaa watoto wetu wakiwa na vichwa cidogo wamejaa mitaani?!
 
Pascal Ndege

Verified Member
Nov 24, 2012
2,393
2,000
Ulitaka anyamaze ili hao watalii wakija waache kwenda mbugani kushangaa wanyama wabaki mjini kushangaa watoto wetu wakiwa na vichwa cidogo wamejaa mitaani?!
Kaka hakuna zika tanzania. Zika si mchezo ndugu yangu zika ni balaa
 
Kibo255

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
4,408
2,000
Heheheh Zika ni ugonjwa hata bila utrafiti ingejurikana tu! Nainaenezwa na mbu kama malaria. Nadhani ungeenda CCBRT ungekuta tu wazazi wanaangaika
Wewe ni mnafiki tu una lolote
Endelea Na unafiki wako
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,203
2,000
Kaka hakuna zika tanzania. Zika si mchezo ndugu yangu zika ni balaa
Zika ipo kwa mujibu wa utafiti acheni mchezo na magonjwa, hata ukimwi mlisema haupo ni uongo wa wazungu leo umeua ndugu na bado ni janga karibu kila familia. Endelee kupuuza utafiti wa NIMRI msubiri utafiti kwa hisani ya watu wa marekani maana utumwa bado haujatutoka.
 
valuablecock

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
782
1,000
Zika ipo kaka au hujui nini?
Nadhani kuna mahali hatujaelewana mkuu, naifahamu Zika mkuu,na pia natambua uwepo wake Tanzania kwa mujibu wa tafiti iliyofanyika.Sasa tatizo langu ni wenye mamlaka kutotaka ifahamike wakati itakapotokea hao watalii wanaohofia kuwapoteza wakipata maambukizo wakiwa katika inchi yetu ilhali hatujajipanga vya kutosha kukabiliana na hali hii itatujengea picha mbaya zaidi kwakuwa itakuwa serikali ndio imehatarisha maisha ya wageni kwa makusudi au uzembe.
 
wavoko

Member
Oct 20, 2015
93
125
sasa jaman zika Ipo haipo na kama IPO kwann wanamtengua tena mama wa watu bure kisa kusema ukweli au ukweli humweka MTU huru kama wameshindwa kuweka uchumi sawa wanategemea watalii hapo imekula.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,053
2,000
Kama zika inasababisha vichwa vidogo na Tanzania ina tatizo la vichwa vikubwa na Mgogo wazi. Basi wacha watumbuliwe tu mpaka mwisho wao na PHD za kunywea maji. Tena huyu atakuwa kachomekewa tu na vijana. Labda alikuw alikuwa anasumbua vijana wake hapo. NIMRI

Anajua mdhara kwa ndege za Magufuri kweli. Thats means watalii wote watakimbia Tanzania kwa kuhofia Zika.
unafikiri watalii wanafuatilia taarifa za NIMR ili kuja? wana "maNIMR'' Yao huko yanataarifa zote na ndiyo wanayaamini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom